Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Haya ndugu Ole wako huyu hapaHiyo ya kwako mkuu ktk watu ambao walitangazwa wakuwepo kuwaangalia madogo bas ni huyo kocha
Wenzetu ukishakabidhi ofisi na lako halipo
[emoji16]Akikubishia tena nitag nimtumie video kabisa..hakumbuki game ya man u na juve (Kama sijakosea) mkubwa alitia mbinu zake na game nyingi Fergie anachangia hasa kubwa kubwa na muhimu Kama ya leoHaya ndugu Ole wako huyu hapa
Ole said: "But he [Ferguson] would be welcome to have his talk to the players if the gaffer wanted to, because we know how much it meant to him to overtake Liverpool [in terms of titles won]. Our players know what this game means for everyone at Manchester United.”
Fergie a anawasaidia sana tu kwa mbinu..[emoji16]Akikubishia tena nitag nimtumie video kabisa..hakumbuki game ya man u na juve (Kama sijakosea) mkubwa alitia mbinu zake na game nyingi Fergie anachangia hasa kubwa kubwa na muhimu Kama ya leo
Sio Liverpool tu , japo Man u ni mbovu hakuna timu kigogo katika EPL inayoweza kwenda pale OT ikiwa na 100% inakwenda kushinda. Vile vile hakuna Kigogo katika EPL anayewezakusema hafungwi na Man U ii mbovu akiwa uwanjawake wa nyumbani. Man U itabakiki kuwa man U japo kwasasa wanapigia katika changamoto.Liverpool mmenusurika kupakatwa leo viazi nyie .
Nipo. Yaani mna bahati sana. Hata hivyo leo tumewakomesha. Mmeambua one point.Uko api nakutafta sana best angu mimi
Baada ya kuona atafia kazini akikimbiza rekodi za Liverpool UCL na Carling Cup aliamua kuachia ngazi..Anaogopa rekodi yao kuvunjwa..ya makombe epl
Sio Liverpool tu , japo Man u ni mbovu hakuna timu kigogo katika EPL inayoweza kwenda pale OT ikiwa na 100% inakwenda kushinda. Vile vile hakuna Kigogo katika EPL anayewezakusema hafungwi na Man U ii mbovu akiwa uwanjawake wa nyumbani. Man U itabakiki kuwa man U japo kwasasa wanapigia katika changamoto.
Tatizo Lenu mlikua mkijiamini mtaifunga Man U OT tena kwa idadi kubwa ya magoli, pale OT ni mwaka unakwenda wa 6 Liver hajaifunga Man U tena ii ni Man U mbovu kabisa katika miaka 30 kuwai kutokea tena yenye wachezaji under 20. Ni jambo la aibu kwa Liver.Hapo mmetoka droo mngeshinda sijui ingekuwaje?
Ndio mlichobakiza sasa hivi maana hakuna kingine tena .
Utofauti wa Liverpool na man u ni point 15 mpaka sasa Nakukumbusha tu mkuu.
Mkuu li timu lao halina muelekeo,Hawajui wanatafuta nini kwenye ligi wapo wapo tu kama mazombi flani hivi kwanini wasifanye sherehe kwa hii sare.Maisha Yana Kasi Sana leo hii Manchester United anashangilia draw nyumbani dhidi ya Liverpool.....havha ha ga
Man u ilisha Anguka miaka 6 iliyopita, kwasasa inaanza kujijenga upya lakini vigogowa EPL bado wanahangaika kuifunga.Man U wakisha Inuka kutoka apa walipo tegemea miaka 20 tena ya ubabe EPL na Europe.Mkuu li timu lao halina muelekeo,Hawajui wanatafuta nini kwenye ligi wapo wapo tu kama mazombi flani hivi kwanini wasifanye sherehe kwa hii sare.
Mbona kaongea vizur mkuu " to have talk" ma legends kuongea na wachezaj wao kawaida sana labda aondoke kwa bifu kama roy keane kurud ni ngumuHaya ndugu Ole wako huyu hapa
Ole said: "But he [Ferguson] would be welcome to have his talk to the players if the gaffer wanted to, because we know how much it meant to him to overtake Liverpool [in terms of titles won]. Our players know what this game means for everyone at Manchester United.”