"......when your inform your best midfielder Adam Lallana" hapo ndo nini sasa? Kwa nini usitumie Kiswahili ?Asante sana Lallana kwa kunyamazisha hawa mapimbi(Dumb haters) always u know how to press and when your inform your the best midfielder Adam Lallana
Akiwa katika ubora wake ni best midfielder anapress anatumia miguu yote ana through pass ana crosses ana mashuti shda yake tu anapenda vichenga chenga"......when your inform your best midfielder Adam Lallana" hapo ndo nini sasa? Kwa nini usitumie Kiswahili ?
Mbali na kufunga hakutakiwa kuingia in the first placeLALLANA KAFUNGA GOLI BASI SUBIRI BAADHI YA MASHABIKI BLINDLY WATASAHAU UBOVU WAKE NA KUMPIGANIA GAME INAYOFATA AANZE
Sasa si unaona hapa nimekuelewaAkiwa katika ubora wake ni best midfielder anapress anatumia miguu yote ana through pass ana crosses ana mashuti shda yake tu anapenda vichenga chenga
Enjoy soccer [emoji16][emoji16]Mlivyocheza na Chelsea mlienjoy VAR[emoji23][emoji23][emoji23]
Enjoy na leo pia..
NAOMBA WALE MASHABIKI WA ORIGI WAJE NA LEO WATUSIFIE TENA KUWA SALAH AEKWE BENCHI AANZE ORIGI
Yaani refa hata ball to hand hajui
What the fvck !!!
baba swalehe unatukanaRefa.... KLMY
Ox hujamuona kijana wanguFT United 1-1 Liverpool
Keita keita keita.
Huyo jamaa klopp anamwonea sana. Kabadilisha game kabisa.
Lalana katuokoa kwenye aibu.
YNWA
Maajabu ni kwamba fred kaupush mkono mwenyewe kuupotezea mpira directionYaani refa hata ball to hand hajui
What the fvck !!!
Tunaweza kushinda au tusishinde hii game lakini sio sababu ya kuibeza Derby ya Liverpool vs Man United
Yani leo ndio kila mtu kaona salah hata kama anashindwa kufunga muache tu,klopp yupo sahihi tu kumpanga salah.baada ya mechi hii hakuna ubishi tena
FT United 1-1 Liverpool
Keita keita keita.
Huyo jamaa klopp anamwonea sana. Kabadilisha game kabisa.
Lalana katuokoa kwenye aibu.
YNWA
Mi naona jklop abadirikage Yan wakina chambo keita hi ilikuwa game yao kabisaa daah ..Kama Msimu uliopita game yetu kabisa tunadraw[emoji26]