Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Hii ni moja ya Derby kali kabisa duniani, kwenye Derby hua anaejichanganya tu basi anapigwa mzee...
Hii mechi Kwa Manu ina umuhimu kuliko mechi yoyote ile msimu huu, kwanza akipigwa hati hati ajikute nafasi ya 17 au 18 endapo walio chini yake washinde wote, kingine pia wana matarajio makubwa mno Kwa kua kikosi pale nyuma kitakua kimekamalika Bin, Maguire, Lindlof, Shaw wote wanaweza kua in contention...
Pale mbele wanaweza kua na Maritial ambae amekaa nje muda tu, hao Wachezaji kwao wanaona wamerudi wakati mwafaka kutuharibia rekodi ya kushinda mechi 18 EPL consecutively na kumpa ari noisy neighbour Citi... Walituharibia msimu uliopita tuka draw mechi ile na ndio ilitunyima ubingwa na bila shaka na msimu huu wanajipanga tena kuharibu shughuli...
Kingine kwao pia wanaona hii mechi itawajenga kuanza upya ligi baada ya kupata matokeo mambovu kuliko wakati wote ule of late...
Kwa bahati mbaya hawatakua na Pogba wala Degea ambao waliwatarajia Sana mechi hii.. Degea ni pigo kwao na huyu jamaa sijui ana kisasi na sisi pindi tunapokutana hua anakua moto ajabu..
Na mwisho rekodi yetu OT hairidhishi miaka ya hivi karibu hua aidha tunatoa sare ama tunapigwa hilo nalo linawapa motisha kupigana Sana watuharibie kujikita kileleni na pia wajisaidie wenyewe kusonga nafasi za juu zaidi...
Klopp asipoamkia mvinyo na kutupangia akina Lalllana basi tutatoka kifua mbele na hatimae kumaliza hili gundu la kutotoka na point 3 OT....
Tukiwadhibiti ma winger wao basi kazi imekwisha mapema kabisa....
In Klopp I trust
Klopp ana nafasi kubwa sana ya kutupa raha wekedi hii sitarajii kingine...Wakati huo na Liverpool nao wana kiu kubwa na EPL hilo pia usisahau
Yamebaki masaa...Watachakaa
Acha kutushika mkuu ..wewe mpira utakuwa umeanza kuujua miaka ya 2005 apo ...sasa ni game 50 zimefikaje ..
Enewei Man united 3-1Liverpool
Yaani hujaelewa meseji wanayojaribu kuituma kwa united....hahahaaa yaani Klopp anamaanisha mtu atachakazwa magoli ya kutosha kama kwenye basket.....Hii dharau inayofanywa na wachezaji wa LIVERPOOL pamoja na KOCHA wao binafsi sijaipenda kabisa.
Kivipi mnaenda kucheza na UTD j/pili badala ya mazoezi ninyi ndo kwaaanza mnacheza BASKETBALL??!View attachment 1236688
Mkuu sio hao tu hata mashabiki wao huku wameanza kutuomba tuwapige nyingi ili wazidi kupata sababu ya kumfurusha mhasishaji Ole...na sisi kwa Mara nyingine tunawahaidi hatutowangusha.kila mahali ni dharau tu ha ha ha haHii dharau inayofanywa na wachezaji wa LIVERPOOL pamoja na KOCHA wao binafsi sijaipenda kabisa.
Kivipi mnaenda kucheza na UTD j/pili badala ya mazoezi ninyi ndo kwaaanza mnacheza BASKETBALL??!View attachment 1236688
Hii combination ilikuwa nzur sana na ox akirudi kwny ubora wake nafkir wijd ataanzia benchView attachment 1236760
HahahhahYaani hujaelewa meseji wanayojaribu kuituma kwa united....hahahaaa yaani Klopp anamaanisha mtu atachakazwa magoli ya kutosha kama kwenye basket.....
Yaani hiyo game itakuwa kama basket na kuna hatrick za kushangaza ktk hii game...
Hendo si mchezaji wa daraja la liverpool kwa sasa nafkir hata klope analijua hilo anamchezesha kwakua opption nyingine hana subir keita awe full fit na ox arejee kwny ubora wake nafkir hendo atatafuta timu alikuwa dm akafeli kocha akajaribu kumpeleka more advanced role ili aangalie km atafaa huko. Role yake aliyopewa akashindwa kutoa assist hata moja mpk sasa. Huyu ndo shit player tuliyokuwa nae kwny first eleven kwa sasaKuna Wadau hawapendi kuona taarifa kama hizi wasipomuona Hendo hapo kwasababu Kwa upande wao ndiye anayepiga kazi
HahahahaYaani hujaelewa meseji wanayojaribu kuituma kwa united....hahahaaa yaani Klopp anamaanisha mtu atachakazwa magoli ya kutosha kama kwenye basket.....
Yaani hiyo game itakuwa kama basket na kuna hatrick za kushangaza ktk hii game...
Ni kweli Henderson sio mzur kihivyo lkn ni Aina ya mchezaji unaemuhitaji kwenye timu maana ni kwenye uongozi na kujituma yupo vizur...wakat mwingine tujifunze kuvipenda na kuvikubali vyetu maana hata Henderson Leo kuonekana mbovu ni kwa sababu timu imeanza kukaa vizur lkn kipind Cha nyuma baada ya SG, Henderson ameplay part kubwa Sana kwa hii Liverpool tunayoiona leo...Ana mapungufu sawa Ila tumpe heshima yake captain wetu mda wake ukifika wa kutoka atatoka na heshima yake Manisha yataendelea...#WAKATI MWINGINE MUNGU AKUPI UNACHOTAKA ANAKUPA UNACHOSTAHILI#...binafsi sioni na Wala sijawahi kuona aibu kuwa na captain Kama Henderson.Hendo si mchezaji wa daraja la liverpool kwa sasa nafkir hata klope analijua hilo anamchezesha kwakua opption nyingine hana subir keita awe full fit na ox arejee kwny ubora wake nafkir hendo atatafuta timu alikuwa dm akafeli kocha akajaribu kumpeleka more advanced role ili aangalie km atafaa huko. Role yake aliyopewa akashindwa kutoa assist hata moja mpk sasa. Huyu ndo shit player tuliyokuwa nae kwny first eleven kwa sasa
Mechi ngumu hii msijipe 100% ushindi kwenye Derby hii ya RivalryUpo sahihi ,sijui kwanini baadhi ya kopities mnawaogopa man u
Hakuna kipind ambacho Man u anakuwa underdog kwa Liverpool kama sasa
Tayari Degea ni injury, pogba injury
View attachment 1236486
NiceNi kweli Henderson sio mzur kihivyo lkn ni Aina ya mchezaji unaemuhitaji kwenye timu maana ni kwenye uongozi na kujituma yupo vizur...wakat mwingine tujifunze kuvipenda na kuvikubali vyetu maana hata Henderson Leo kuonekana mbovu ni kwa sababu timu imeanza kukaa vizur lkn kipind Cha nyuma baada ya SG, Henderson ameplay part kubwa Sana kwa hii Liverpool tunayoiona leo...Ana mapungufu sawa Ila tumpe heshima yake captain wetu mda wake ukifika wa kutoka atatoka na heshima yake Manisha yataendelea...#WAKATI MWINGINE MUNGU AKUPI UNACHOTAKA ANAKUPA UNACHOSTAHILI#...binafsi sioni na Wala sijawahi kuona aibu kuwa na captain Kama Henderson.
#YNWA#
#INKLOPPWETRUST#
Liverpool anaenda kushinda 2+ baada ya mechi nitafuteMechi ngumu hii msijipe 100% ushindi kwenye Derby hii ya Rivalry
Wanamuonea tu huyo Masai Ole, ile timu ina uongozi mbovu wa Ku recruit na kunegotiate deals za wachezaji .Mkuu sio hao tu hata mashabiki wao huku wameanza kutuomba tuwapige nyingi ili wazidi kupata sababu ya kumfurusha mhasishaji Ole...na sisi kwa Mara nyingine tunawahaidi hatutowangusha.kila mahali ni dharau tu ha ha ha ha