OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Wewe ni fan wa timu gani mkuu ..mbna hatukuelewi? Au ndo unatafuta timu ..naona uko kweny kuchuja kati ya Arsenal na Liverpool ..[emoji3][emoji3][emoji3]Tatizo la Ngwaba haangalii kwa jicho la tatu,huyu hendo atamwelewa tu.....
Hii Liverpool inafika mwisho wake wa kutamba ..hao akina salah na mane wameanza kuchoka maana Kila game wamo.. Kwa maana iyo basi, kumfunga Manure mujipange sana ..labda VAR iwape musaada maana ndo ushind wenu ulipo sasa..Bro huu ni mpira yaani kila nikisoma post yako wewe chuki yako ipo kwa Liva tu. Appreciate kwa mafanikio wanayoyapata kwa sasa kwani kila timu ina zama zake za kutamba. Kosoa pale unapoona kuna kasoro sio kuponda tu. That is unprofessional
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha masikhara mkuu ..kwani Man united mutamfunga??? Mimi naona kabisa maajabu yatatokea ..ile game ndo itaamua mubebe ligi huu msimu ama laah...
Mimi ni mpenda soka na ni shabiki nguli wa timu kubwa London,so popote panapokuwa na alama ya soka mimi nipo.....Wewe ni fan wa timu gani mkuu ..mbna hatukuelewi? Au ndo unatafuta timu ..naona uko kweny kuchuja kati ya Arsenal na Liverpool ..[emoji3][emoji3][emoji3]
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Shabiki nguli wa chelsea asiyejua kuwa Hernan Crespo na Edur Gudjohnson waliwahi kuwa wachezaji wa Chelsea....Acha kutushika mkuu ..wewe mpira utakuwa umeanza kuujua miaka ya 2005 apo ...sasa ni game 50 zimefikaje ..
Enewei Man united 3-1Liverpool
Hujamzoea tu!!Bro huu ni mpira yaani kila nikisoma post yako wewe chuki yako ipo kwa Liva tu. Appreciate kwa mafanikio wanayoyapata kwa sasa kwani kila timu ina zama zake za kutamba. Kosoa pale unapoona kuna kasoro sio kuponda tu. That is unprofessional
Hii ni moja ya Derby kali kabisa duniani, kwenye Derby hua anaejichanganya tu basi anapigwa mzee...Kiukweli kwa spirit ya winning team yetu iliyonayo na mimi naamini tunashinda hiyo mechi, siwazi droo wala lose,
Nawatakia ushindi mnono LiverpoolHii ni moja ya Derby kali kabisa duniani, kwenye Derby hua anaejichanganya tu basi anapigwa mzee...
Hii mechi Kwa Manu ina umuhimu kuliko mechi yoyote ile msimu huu, kwanza akipigwa hati hati ajikute nafasi ya 17 au 18 endapo walio chini yake washinde wote, kingine pia wana matarajio makubwa mno Kwa kua kikosi pale nyuma kitakua kimekamalika Bin, Maguire, Lindlof, Shaw wote wanaweza kua in contention...
Pale mbele wanaweza kua na Maritial ambae amekaa nje muda tu, hao Wachezaji kwao wanaona wamerudi wakati mwafaka kutuharibia rekodi ya kushinda mechi 18 EPL consecutively na kumpa ari noisy neighbour Citi... Walituharibia msimu uliopita tuka draw mechi ile na ndio ilitunyima ubingwa na bila shaka na msimu huu wanajipanga tena kuharibu shughuli...
Kingine kwao pia wanaona hii mechi itawajenga kuanza upya ligi baada ya kupata matokeo mambovu kuliko wakati wote ule of late...
Kwa bahati mbaya hawatakua na Pogba wala Degea ambao waliwatarajia Sana mechi hii.. Degea ni pigo kwao na huyu jamaa sijui ana kisasi na sisi pindi tunapokutana hua anakua moto ajabu..
Na mwisho rekodi yetu OT hairidhishi miaka ya hivi karibu hua aidha tunatoa sare ama tunapigwa hilo nalo linawapa motisha kupigana Sana watuharibie kujikita kileleni na pia wajisaidie wenyewe kusonga nafasi za juu zaidi...
Klopp asipoamkia mvinyo na kutupangia akina Lalllana basi tutatoka kifua mbele na hatimae kumaliza hili gundu la kutotoka na point 3 OT....
Tukiwadhibiti ma winger wao basi kazi imekwisha mapema kabisa....
In Klopp I trust
Pamoja Sana ndugu Aaron Arsenal..Nawatakia ushindi mnono Liverpool
Ronaldo na Messi wapo katika levo za juu Kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo... sasa hivyo hilo la majembe wetu kuchoka si kweli.. Wapo ngangari kupambanaHii Liverpool inafika mwisho wake wa kutamba ..hao akina salah na mane wameanza kuchoka maana Kila game wamo.. Kwa maana iyo basi, kumfunga Manure mujipange sana ..labda VAR iwape musaada maana ndo ushind wenu ulipo sasa..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Limezibwa kabisa ndugu...Kwani pengo la Coutihno mpka sasa limezibwa?
Dully Jr na Aaron Arsenal ni ndugu zetu kama ambavyo wewe upo mguu ndani mguu nje ManuWewe ni fan wa timu gani mkuu ..mbna hatukuelewi? Au ndo unatafuta timu ..naona uko kweny kuchuja kati ya Arsenal na Liverpool ..[emoji3][emoji3][emoji3]
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Hahahaha sasa ndugu yangu sisi hatuishi kwa historia bana ..sisi tunajenga historia mpya apo badae tuje tuwaadisie vizazi vijavyo kwamba akina Mount, Tammy Kante waliburuza timu kama arsenal Liverpool uko ..Man u.. Hao akina Crespo wakati wao ulishaisha bana[emoji3][emoji3][emoji3]Shabiki nguli wa chelsea asiyejua kuwa Hernan Crespo na Edur Gudjohnson waliwahi kuwa wachezaji wa Chelsea....
Hahaahhahaah sio kosa lako acha uendelee kuwa mchekeshaji majukwaani.....
Ni kweli mkuu CR7 na Messi wapo kwa zaidi ya miaka kumi lakini kivyovyote vile hawawezi kuwa level moja na akina salah au mane ...Ronaldo na Messi watabaki kuwa wachezaji ambao wako kwenye level zao wenyewe [emoji3][emoji3][emoji3] uyu Salah tupe msimu huu tu ..msimu ujao mtataka asepe, Mane tupe adi msimu ujao...baada ya hapo mtalia na kusaga meno kama hamtosajili...Ronaldo na Messi wapo katika levo za juu Kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo... sasa hivyo hilo la majembe wetu kuchoka si kweli.. Wapo ngangari kupambana
Haha man u nipo weekend hii tu ..ili kuhakikisha wanawachakaza ..baada ya hapo narudi zangu darajani...Dully Jr na Aaron Arsenal ni ndugu zetu kama ambavyo wewe upo mguu ndani mguu nje Manu
Kama watu kila siku nawaambia, lii ushindi WA timu upatikane nidhamu kwanzaEmre ndio huyoo Man U wanamtazama pengine January wapeleke ofa.. Kuachwa kwake kikosi cha Bibi Kizee kushiriki UCL kumemvuruga mno...
Huyu na C10 si bure waje wamwangukie Klopp awape baraka zake Hahaha
Hata hao ma super wawili Messi na CR7 walianza hivyo hivyo na wapo mashabiki waliwambeza kua ni single season wonder sasa tazama mpaka sasa umri 30+ plus na bado wanatikisa the equilibrium yao ipo intact...Ni kweli mkuu CR7 na Messi wapo kwa zaidi ya miaka kumi lakini kivyovyote vile hawawezi kuwa level moja na akina salah au mane ...Ronaldo na Messi watabaki kuwa wachezaji ambao wako kwenye level zao wenyewe [emoji3][emoji3][emoji3] uyu Salah tupe msimu huu tu ..msimu ujao mtataka asepe, Mane tupe adi msimu ujao...baada ya hapo mtalia na kusaga meno kama hamtosajili...
Hata Mimi naona Coutinho hatufai kwa sasaAtavuruga wenzake kifikra bora asiletweYani aitose tim kisa haina mafanikio wenzie wapambane wana anzakufanikiwa arudi apewe nafasi ki ubinadam hapo unaonaje mkuu?
Bora atafutwe mtu mwingine kuliko yeye nimemona Bayen kawa mvivu sana hatufai hata kidogo.
C10 huyu sijui alituchoka kiasi gani maana alichangia ela zaidi ya €10m ili atue Barca... Barca wao waliweka ofa mezani €120m take or leave ndogo kuona dili litambuma akazama mfukoni na kujinunua Kwa kuongeza hicho kiasi... Sasa ona ndoto yake Catalan imefeli.. Lol kweli never burn your bridges...Kama watu kila siku nawaambia, lii ushindi WA timu upatikane nidhamu kwanza