Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,307
- 40,110
Hahahaha ... Alikua anawapa story za demu wake wa utotoni !'Mkiachia Video naondoka' .
Jurgen Klopp amesema kwamba ataondoka klabuni endapo Liverpool wataachia video akiwa anaongea na wachezaji wake wakati wa Mapumziko baada ya Salzburg kuachia video ya kocha wao Jesse Marsch akiwa na anaongea kwa hisia sana na wachezaji wake wakati wa mapumziko kwenye mechi ya UEFA dhidi ya Liverpool .
Klopp amesema kwamba hatovumilia kitendo kama hiko endapo Liverpool wakifanya hivyo.
.
.
. " Kama LFCTV wakiweka hadharani video yangu nikiwa nafanya hivyo, nitaondoka klabuni . Huo ndio ukweli na hilo ndio wanaweza kusema kuhusiana na hali hiyo ."
Vs Leicester
Front three iwe ivi
Mane. Firmino. Shaqiri
huyu salah tunamlea sana ni bora akae benchi huenda akajirekebisha
Sidhani kama aweza pata namba huyu kwenye kikosi cha kwanza cha juve, Bayern,Barcelona,hata arsenal pia
Allison msimu huu ana cleansheet?
Awa tunawahesabia mechi tu..
Kila la shari Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Na hii beki ya sasa ivi?Akirud tu anaanza kuzipata
Na hii beki ya sasa ivi?Akirud tu anaanza kuzipata
Allison akipata cleansheet msimu huu azitafika tano..ubao unasoma Kepa ana cleansheet moja Allison ZERO.Mkuu nilikushauri zamani uache Bange lakini umekuwa mbishi...
Sasa Alison hiyo Clean sheet aipate kwenye Wodi ya Wagonjwa au?
Hata hivyo mpaka kufikia anaumia kwenye game dhidi ya Norwich alikuwa ana Clean sheet ya dakika alizocheza.
Hii raundi ya kwanza umalizi ukiwa apo juu ..mpaka desemba either tutakuwa sawa or tutakuwa tumekutangulia...Nadhani katika mechi unazotuhesabia leo hesabu yako inasema tunacheza mechi ya nane! So ndiyo?
Wachezaji ambao weshakimaa kuwapata kwake ni mbindeMtazamo...Kama anafikiria hivyo sawa labda anatudanganya kweli...
Sorry unasema mzigo ukiwekwa hapatikaniki mchezaji wa maana zaidi ya rabiot...au nimeelewa vibaya mkuu
Allison akipata cleansheet msimu huu azitafika tano..ubao unasoma Kepa ana cleansheet moja Allison ZERO.
Acha niendelee kuvuta bangi zangu tu..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Lovren in the pitch after a long break
Liverpool Line-Up:
Adrian, Alexander-Arnold, Lovren, Van Dijk, Robertson, Fabinho, Milner, Wijnaldum, Mane, Salah, Firmino.
Subs: Kelleher, Keita, Gomez, Henderson, Lallana, Origi, Elliott.
Kwa kikosi hiki nasubiri tu mwisho wa dakika tisini