Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Watuletee watoto wa kireno kwenye academy...waingereza wengi wao wanashindwa kutoboa senior team kwasababu ya uwezo mdogoVitor Matos has officially joined the Liverpool FC staff as elite development coach.
At Liverpool, the 31-year-old takes up the position previously held by current Reds assistant manager Pepijn Lijnders, who also switched to Merseyside from Porto.
Ishu ipo kwenye youth system ambayo madogo wanaanza wakiwa na miaka nane yaani watoto kabisa hapa ndio pagumu kuwaleta watoto kutoka nje ya UKWatuletee watoto wa kireno kwenye academy...waingereza wengi wao wanashindwa kutoboa senior team kwasababu ya uwezo mdogo
Hili pozi LA kichapo kabisa yani
Leo liverpool mtaruka ruka tu uwanjan, salzburg sio timu ya mchezo mchezo
Mkuu uefa hakuna kibonde, subili uone maajabu ya usiku wa uefaHahaha, yaani kila ukiitabiria vibaya inafanya vzr, Leo tunashinda goli 5 kwa bila
Kila la kheli katika kutetea taji lenuHahaha, yaani kila ukiitabiria vibaya inafanya vzr, Leo tunashinda goli 5 kwa bila