Inawezekana bado wanachukulia poa kikosi cha guardiola...sisi tunatengeneza chance nyingi tunapata matokeo kiduchu wenzetu wakipata chance wanatumia ipasavyo yaani mpaka sterling siku izi anajua kumalizia( hii ni hatari Zaid ya yote) ...wale wakipata wa kujipigia hawataki masihara ..tuombe tusiwe na injury December hiyo..#YNWAKwa mantiki hiyo ni kwa nini Liverpool haijachukua EPL kwa miaka 29(ishirini na tisa na yote hiyo ikiwa ndani ya EPL) ?
Tusikariri wakati kutochukua kombe ambalo upo ndani ya michuano yake miaka 29 mfululizo ni tayari trend ya kukariri kabisa maana hakujakuwa na mabadiliko katika miaka 29 hiyo?
2013/2014 ilikuaje? Je haikujirudia 2018/2019 mkuu?
Tutakuja kufukua makaburi haya sio mbali sana
Kweli kabisa mkuuNi vizuri hizo taarifa ungepeleka kwenye jukwaa la Arsenal au man u.sijaona kama zinatija huku kwa Liverpool.
Majanga ni wanazi wenzetu wa Liverpool kule UK licha ya kuanguka kwa Liverpool sababu ikiwemo ya kukumbatia uzawa ila mpaka leo hii wanapigania uzawaInawezekana bado wanachukulia poa kikosi cha guardiola...sisi tunatengeneza chance nyingi tunapata matokeo kiduchu wenzetu wakipata chance wanatumia ipasavyo yaani mpaka sterling siku izi anajua kumalizia( hii ni hatari Zaid ya yote) ...wale wakipata wa kujipigia hawataki masihara ..tuombe tusiwe na injury December hiyo..#YNWA
Kwako hakina tija kwa wengine kina tija.Ni vizuri hizo taarifa ungepeleka kwenye jukwaa la Arsenal au man u.sijaona kama zinatija huku kwa Liverpool.
Leo liverpool mkipoteza hii game, uefa mtaiona ngumu sanaa
Leo liverpool mkipoteza hii game, uefa mtaiona ngumu sanaa
Hahahahahahahahah Wewe jamaa Liverpool inakutesa sana.Leo liverpool mkipoteza hii game, uefa mtaiona ngumu sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahahahah Wewe jamaa Liverpool inakutesa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo jamaa kuna uwezekano mkubwa kabla ya kuwa shabiki wa Man City kabla yake alikuwa shabiki wa Man Utd
We si unawajua jamaa wa Utd kwa kuichukia Liverpool
Atakuwa nje ya soka kwa muda gani?De bruyne nae pancha huko
Tuliza mshono, legaza ubongo, kwan hujui unacheza lin,kiazi wewAcha wenge ww tunacheza kesho
Matip injured
Matip ni injury ndogo tu lakini kesho hatokuepo kikosini ila next against Leicester anaweza akawepo
Kwa hiyo Man City HAWEZI FUNGWA na vigogo lkn atafungwa na Norwich inayo pigania isishuke daraja?kwaiyo hao ni vigogo?
Hata huna haja ya kutaja Article! Mimi mwenyewe nilishawahi kulisema hilo!
Matip hapewi sifa anayostahiki but ni Defender mzuri tu na wala haina haja ya kusubiri Siku atakayofanya Blunder tuanze kufukua Makaburi.
Hata hivyo VVD ni better himself