Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Miongoni mwa mechi ngumu kabisa tokea tuanze EPL ni hii ya leo

Kweli mkuu maana front three yetu leo ilikuwa aileweki halafu jamaa walikuwa wako wengi nyuma na wamejipangilia vizuri,kipindi cha kwanza hatukupata shot on target hata moja,sio kawaida yetu kushundwa kupiga shot bila kulenga goli kipindi cha kwanza
 
Japo hamta amini ila angeendelea kuwepo Hendo tungefungwa.


Kloop aacha kuganda Salah uwanjani amtoe ili ajifunze nahisi kiburi kimempanda kwa kujiona supa staa sasa
Salah seasons zilizopita asilimia kubwa magoli aliyofunga ni ktk mazingira magumu, na nafasi za wazi nyepesi alikosa. So anatakiwa atambue miguu ishachoka na magoli ya dizaini ile hawezi funga tena awe tu mwepesi kutoa pasi wenzake wafunge
 
Halafu anajua kabisa kuwa Hendo&Gini&Milie hawana hadhi kabisa sio kwamba hajui na ukitaka kuthibitisha hilo ni ile mechi vs United tulioshinda 3-1 Shaqiri akitupia mawili
 
August

Friday 9
Liverpool 4 - 1 Norwich City

Saturday 17
Southampton 1 - 2 Liverpool

Saturday 24
Liverpool 3 – 1 Arsenal

Saturday 31
Burnley 0 - 3 Liverpool

September

Saturday 14

Liverpool 3 – 1 Newcastle United

Sunday 22
Chelsea 1 - 2 Liverpool

Saturday 28
Sheffield United 0 - 1 Liverpool


Tumemaliza salama September kwa ushindi 100% sasa tunaingia katika mwezi wa October ambao tutakuwa na ratiba ngumu kidogo inayohitaji nidhamu ya hali ya juu ↓↓

October

Saturday 5

Liverpool – Leicester City

Saturday 19
Manchester United - Liverpool

Saturday 26
Liverpool –Tottenham Hotspurs
 
Tutatoboa tu points 9 zipo naziona kabisa
 
Apa mnapigwa zote ..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Hapo kwa Sheffield rekebisha ni moja sio mbili
 
Tutatoboa tu points 9 zipo naziona kabisa

Tukichukuwa points zote 9 tutakuwa tumeweka Rekodi 2:

1) Timu iliyoshinda michezo mengi ya EPL 19 mfululizo kuliko timu yeyote ile (Rekodi inashikiliwa na Man City mwenye 18).

2) Timu iliyoshinda michezo 10 mfululizo baada ya kuanza kwa Ligi, Ambapo Rekodi inashikiliwa na Chelsea kwa kushinda michezo 9 mfululizo 2006/06
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…