Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Teh .....[emoji28][emoji28][emoji28]


Eeh mzee baba

Mimi zile goli nne tulizowafunga barca zli ni inspire sana mzee

Kwmba anything is possible
 
Teh .....[emoji28][emoji28][emoji28]


Eeh mzee baba

Mimi zile goli nne tulizowafunga barca zli ni inspire sana mzee

Kwmba anything is possible

Ndo hivyo mzee, sasa hivi habari za kukata tamaa nimeacha.

Liverpool hii nikikumbuka ilivyonitesa miaka hiyo, leo natesa mtaani, kila nakopita nasikia mzee wa Liver niaje, mtatoka?

Nawajibu, haponi mtu, na kweli tunanyonga. Hapa nasubiri kumwangamiza Man Utd, Arsenal - EFL, Man City huu mwaka lazima tumsomeshe.
 
Achana na media comments za kiingereza nakuhakikisha brother Jones ni mchezaji wa kawaida sana na hana future yoyote ni aina ya wachezaji wa kiingereza ambao technically hawana uwezo
Hapa napingana na wewe nimeangalia game yote na Jones alikuwa mzuri kuzidi wenzake vijana wa jana sasa inaweza kuwa hukumpenda au ndio mtazamo wako ila kacheza vizuri kwa mtoto wa miaka 18
 
Sawa brother kwasababu ni wa kwetu wacha tuwapende hivyo hivyo
Mtazamo tu mkuu ..mi nadhani experience and hard work ina matter zaidi ya kipaji (ndio maana wakina H.wilson wanapelekwa kwa mkopo wapate uzoefu )..unaweza ukawa na kipaji ukafelishwa na experience ..Hawa wanahitaji game za mara kwa mara angekuwa anaanza kikosi cha kwanza senior team hapa ndo tungesema bado ila yule ni dogo wakupewa muda!.
 
Dah, wewe ndo mimi kabisa, wananiita mzee wa Liver
 
Kwa heshima na taadhima tafadhali mtoe Origi kwenye hiyo orodha alafu muweke Karius namba moja

Mkuu Mimi Naangalia Performance na Mchango wa Mchezaji kiujumla Maenye Career Yake na Wal a sidondoi kwenye mechi mojamoja kuwa alifanyaje!

Nitanihisi Mimi ni Mtu wa ajabu sana iwapo nitauona Origi kuwa ni Bonge la Mchezaji kwasababu tu ati aliwafunga Barcelona.

Vipi kuhusu tens of Games ambazo anacheza akiwa na poor performance?

Nitaendelea kumuheshimu tu kwa Mafanikio aliyotupatia kwa mchango wake wa CL lakini si sababu ya kuwa Origi ni mchezaji sahihi wa timu inayotafufa Mafanikio kama Liverpool.

Ni pure one game wonder

Hapo anasubiri game moja Ngumu anakuja tena kututoa kimasomaso then anapotea tena.
 
Origi technically na tactically yupo very talented unless tuseme amekua outshined na front 3 tuliyokua nayo labda tukubaliane kuwa klop ameshindwa kumtumia ni imani yangu kuwa akicheza namba 9 atafunga sana magoli provided midfield na wingbacks watapiga cross za kutosha..namuona kama plan B nzuri kwetu if bobby is not there
 

Origi mechi za mwisho wa msimu alifanya vizuri kwa kua alikuwa anapambana aongezewe mkataba,mkataba ameshaongezewa , sasa hivi akomai kihivyo hata akikaa benchi poa tu , mpunga unaingia tu.

Kwakuwa alitusaidi tukaona aibu bora tumpe mkataba.
 
Full maHOPE,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…