Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kuhoji ni jambo la busara wapiga kura wanachagua wachezaji wanaowapenda wao, bila kuangalia nani kafanya nini, ndio maana Ramos anakiri Madrid hawakuwa na msimu mzuri na Kama angetaka tuzo binafsi angecheza tennis ila voters wamewachagua regardless performance kwenye team zao.Marcelo anaendelea kutamba kikosi bora cha dunia kisa anapendwa na wapiga kura. Tukutane 2020 tuzo hizi ni za kibiashara zaidi
Wapiga kura ni watu waajabu sana,Unafikiri kuna watu wamewashikiria akili mchezaji bora wa dunia lazima awe mshambuliaji, Allison kapata Coper Amerca medal, Coper Amerca gloves, Epl gloves,Champions League gloves,Champions league medal .Zidumu fikra za wapiga kura waendeleee tu hatutawalaumu kwa mishangao wanayotupatiaNaona wapiga kura wanaendelea kutuaminisha kuwa Casemiro ni bora kuliko Kante
Lionel Messi last season(2018/2019):
Europe top scorer[emoji818]
Barcelona top scorer[emoji818]
Champions League top scorer[emoji818]
La Liga top scorer[emoji818]
Barcelona most assists[emoji818]
La Liga most assists[emoji818]
Most La Liga MOTM awards[emoji818]
Most UCL MOTM awards[emoji818]
Most chances created[emoji818]
Most goal contributions in the top 5 leagues[emoji818]
Most points won for his team in the top 5 leagues[emoji818]
Most free-kick goals[emoji818]
Most braces[emoji818]
Most hat-tricks[emoji818]
Top scorer Vs Top 6 EPL teams[emoji818]
Contributed to 74/96 team[emoji818]
goals [emoji818]
UCL most man of the week[emoji818]
UCL best Forward[emoji818]
UCL goal of the tournament[emoji818]
Pichichi award(la liga golden shoe) [emoji818]
6th European Golden shoe 2019(record)[emoji818]
Most goals outside box[emoji818]
La Liga MVP[emoji818]
ESPY Best international Men's
Soccer Player of the year[emoji818]
Wewe ulipendekeza achukue nani mkuu?Nimejaribu kuisoma badala ya nyingine nimegundua umejaza takwimu zisizokuwa na msingi eti barcelona top scorer,barcelona most assists,duh,hizo ndio sababu Messi kashinda tuzo za mchezaji bora?
Eti kuna sehemu umeandika goals tu halafu umetia tiki ,ili ionekane messi anatakwimu nyingi mtu akisoma tu aogope [emoji3].
Licha ya takwimu zote hizo makombe ya kuku 2 tu aliyopata.
Mbona hizo takwimu azijamsaidia chochote kuchukua makombe amzidi bernado silva tu?
VVD kamkubali MESSI
MESSI kamkubali RONALDO
But RONALDO kaamua kufanya Jealous kwa VVD na MESSI
Hiyo sio jealous bali ni mitazamo ,daima haiwezi kufanana......ikiwa mapacha wanaweza kutofautiana mitazamo itakuwa hao..........
kombe linachukuliwa na team sio mchezaji mmojaNimejaribu kuisoma badala ya nyingine nimegundua umejaza takwimu zisizokuwa na msingi eti barcelona top scorer,barcelona most assists,duh,hizo ndio sababu Messi kashinda tuzo za mchezaji bora?
Eti kuna sehemu umeandika goals tu halafu umetia tiki ,ili ionekane messi anatakwimu nyingi mtu akisoma tu aogope [emoji3].
Licha ya takwimu zote hizo makombe ya kuku 2 tu aliyopata.
Mbona hizo takwimu azijamsaidia chochote kuchukua makombe amzidi bernado silva tu?
Messi was voted he deserved...Votes have spoken
Messi deserved the award... Let's not get too emotional, Liverpool had a very strong squad last season
We had 7 players out of 20 and it was easy for the votes to be spread
With seven players in top 20 rest assured that VVD did NOT SINGLE HANDEDLY carry Liverpool
As opposed to Messi
We shook the bridge
Duh well said comrade...Wapiga kura ni watu waajabu sana,Unafikiri kuna watu wamewashikiria akili mchezaji bora wa dunia lazima awe mshambuliaji, Allison kapata Coper Amerca medal, Coper Amerca gloves, Epl gloves,Champions League gloves,Champions league medal .Zidumu fikra za wapiga kura waendeleee tu hatutawalaumu kwa mishangao wanayotupatia
Duh kazi kweli kweli ,kwahiyo NB wamejitutumua kutoa zaidi ya £75m+ p/yr kutoka £45m ?Dili la Nike linaelekea Kufeli Coz NEW BALANCE wameshatupeleka Mahakamani baada ya Kusikia kuwa Liverpool imeshaafikiana kuingia Mkataba na Nike.
NB Katika Mkataba wao na Liverpool kuna kipengele cha 'Matching Clause' ambapo wakifikia dau sawa na Sponsor yeyote yule basi wao ndiyo watakuwa washindi wa Offer na wataingia Mkataba.
Na Msemaji wa NB amesema wameweza kumatch offer aliyofikia NIKE kwanini Liverpool iingia Mkataba na Nike wakati Matching Clause inawafavour wao NB?
Tuendelee kusoma show litamalizikaje.