Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kweli kabisa tuko na mzigo mkubwa kupambania vikombe kwa kikosi hichi hichi .
 
Spurz sion wakimtimua poch ,

Halafu mbona unamsahau Unai emery , katika hiyo list
hahaha Mkuu Aaron sioni Unai akiodoka hivi karibuni,

Kuridhi mikoba ya Wenger ni kazi inayohitaji uvumilivu ndugu...

bado mpo transition period na Ganaz pia ni wavumilivu usishangae Lampard akaodoka na kumuacha Unai...kwanza hata kwenye usajili bila Champions Legue hua ngumu sana kupata wachezaji wa maana, kwa hio ndugu yangu mvute subira

Unai kama ni kuodoka endapo hatafanya vyema tegemea msimu wa 2020-2021..

labda yeye mwenyewe apate ofa Barca ama Real ambao kwa sasa wote tia maji...
 
Lakini hili Benchi limeshinda kabisa kumbadilisha Lovren
Siku atakayogaiwa namba tu ndiyo siku hiyohiyo anachomesha
Duh kaka like serious beki bora duniani aongeze kiwango wakati yeye anajiona ni bora na huku akichukua mpunga wa maana klabuni...

yule pale ndio mwisho wake aidha acheze ama la kashafika end of his development cycle...
 
Walipe tu mkataba mpya[emoji41] ukiacha kukaba fresh mi linanikoshaga linavyo dribble mpira mpaka mbele kweli siku izi lina kitu Cha tofauti hili lijamaa..
he is just boiling with confidence, guy passes are accurate, aerial duels yumo, maintaing position yumo, kuanzisha mashambulizi yumo,kufunga yumo...yaani the list is endless....
 
Walipe tu mkataba mpya[emoji41] ukiacha kukaba fresh mi linanikoshaga linavyo dribble mpira mpaka mbele kweli siku izi lina kitu Cha tofauti hili lijamaa..

Sio Siku hizi tu! Bali tokea 2016/17 aliposajiliwa alikuwa ni Mchezaji mmoja mzuri sana! Ila Msimu wa 2017/18 alikuja akaathiriwa na Majeruhi ya Mara kwa Mara kiasi ya kwamba alipoteza uwezo wake kwa kiwango kikubwa.

Lakini since Half ya pill ya Msimu wa 2018/19 alirudi kwenye ubora wake baada ya kupona kabisa Majeruhi Yake ya Mara kwa Mara.

Na tokea atangaze kustaafu kuchezea Timu ya Taifa zile Prone injuries zimepotea kabisa.

Kwahiyo sasa amesharudi yule Matip wa 2016/17
 
Mkuu ni sahihi kwanza tuelewa kwamba Klopp alibafili mfumo kutoka HEAVY METAL football na kuchezea huu wa leo ambao hata jina hauna kwa sasa kutokana na ukweli hakua na wachezaji sahihi wa kucheza August to May all cups same rythym bila kupata majeraha mara kwa mara na wachezaji kuchoka mno...

Japo tuliacha Heavy metal bado ipo shinda ambayo inajitokeza na ni wear and tear ambayo tuliona kule Fabby super cup alikamatika haswa na majuzi tu pale Naples front three couldnt click as they do pale wakiwa wamekaaa wiki nzima bila mechi katikati ya wiki na jana Darajani jana pia tumeona loss of form, loss of concentration kutokana na uchovu...our front three has to do defensive duties when the opponent is attacking sasa jana wote tuliona namna ambavyo wachezaji walichoka...

Klopp ni muumini wa winnng the second ball and attacking with speed kabla mpinzani hajajipanga vyema, sasa ishu ni pale the boys win the ball but nobody to pass to kule mbele akafunge na hata ikitokea basi alipata Salah who is now thinking magoli ya Aguero badala ya timu, shinda kweli...

Firmino hana mbio as Mane and Salah he is main job is to win the second ball and feed Salah or Mane to counter sasa inapotokea Mane and Salah are out of form then we need a plan B and tooooo BAD in the bench hatuna that leisure nor can Klopp change the system so tunabaki hanging by the thread mpaka mechi iishe...ndio maana Salah anapozingua kutoa pasi hua sielewi anawaza nini...

Goli la Kante na goli la pili kule Naples sums its all the boys especially VVD are feeling the demands of playing week in week out....pazuri sasa ndio mechi zinaanza kua nyingi, Carabao hioo tumo....je benchi ina wachezaji kushindana au tu sacrifice this and focous on the big picture well muda utasema...

sasa by the time tufike Jan and Feb unakuta jamaa wapo hoi, they human beings kuchoka loss of form a bad day in th job ipo...na hapo ndio we reallt bottle up....

mshindani wetu Manciti has the luxury of changing all his front three na bado akashinda with ease...Klopp aidha he gamble wt Rhian ama aingie sokoni Jan na si muumin wa kununua Jan but most likely situatiom zitamfanya anunue...

Grujic hakuna kipengele cha yeye kurudi mpaka June 2020 hivyo tutaedelea kua na hawa ma Brexit wetu ndugu....

Sasa hayo 2022 ama 2023 yanatisha kuyawaza aisee maana Klopp ataedelea kusema anapenda kikosi kidogo kama cha sasa bila kuona tuna a very standard bench then Kocha ajaye ataridhi kikosi kilchochoka balaa...umri wa hawa majamaa utamua umesogea...

labda endapo yeye kununua akina Harvey amelenga huko twedako ili kuimarisha kikosi kizima...

all in all we have a very predictable squad na ni rahisi mno wapinzani kutusumbua endapo wao wana resources kama ambavyo Napoli walivyotuonyesha....

Keita need to shake this injury trend hii itampa Klopp new dimension sio tu 4 3 3
 
Carabao j5 inabidi wakina Rhian+ Eliot waanze kukipiga tuone cheche zao
Mkuu mi naona hawa wasisubiri Carabao....our main Sub pale mbele ni Origi ambae ameumia naona ni wakati mwafaka hawa mandogo wawe intergrated in the 1st squad wapate minutes...jiuize akiumia Man or Salah nini kitafuata...Lallana is crap, Ox pale front sio an ox kama akiwa AM....kwa kweli we are sitting on th edge kila gemu ikiisha bila injury we say THANKS..
 

Mchezaji kama Keita na OX ni enough kwa Back up kwenye Midfield iwapo tu hawatokuwa na injuries za Mara kwa Mara! But Front 3 ni ukweli usiofichika kuwa hawana Backup kwasasa.

Watu wengi wanaangalia kuwa Origi na Xhaqiri ni Back up ya Mane, Bobby na Salah blindly kwa kuhadalika na Magoli ya Origi aliyofunga CL.

Lakini ukweli ni kwamba Origi na Xhaqiri ni aina ya wachezaji wa Carabao na FA... Origi anakufurahisha mechi 2 then anapotea mechi 10. Ikisha anakuja kuibuka tena kwa mechi 3 tena, then anapotea tena mechi 12. Hana consistency ya uhakika.

Kwasasa young Defenders tunao wa kutosha hatuhitaji usajili wa Defenders coz hata Senior defender yupo GOMEZ kwa Backup. But kwenye DM tunahitaji tusajili Natural Young DM au tumuandae from Academy kwa ajili ya Backup ya Fabinho.

Then AM (8 au 10), pia Central Striker ili kuwapa Muda wa kupumzika Front 3.

Van Dem Berg, Elliott na Ki-jana ni investment nzuri tu kwa Future Plan.
 
Wewe Jamaa naona hata Kenge anaeshtuka kwa kuona Damu umemzidi usugu.

Yani wewe mpaka uone umeshuka daraja ndiyo utaweza kutambua kuwa umeadhibiwa
Shukuruni VAR..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Viongozi Mumesahau Kuwa Leo Ndiyo Siku Ambayo FIFA wanamtangaza Mchezaji Bora wa Dunia (Best FIFA Men's Player of The Year)?
 
For the next season... LFC must consider parting away with one of the front three for money, need also to rebuild... Fullbacks cover and competition, CB to replace lovren, let go of lallana and one player between. Ox,/hendo/nilmer

Stop searching for a new keeper, just confirming Adrian as a permanent back up keeper
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…