Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hayo matokeo vs arsenal vipi?
 

Mkuu me nilikuwa na wasiwasi sana ,ingekuwa anfield ilikuwa uwakika tuwafunga tu.

Ni vizuri kujipongeza vijana wamepambana sana maana hii mechi ilikuwa tunagawana point au tunaacha point.
 

Ni vizuri tuwetunawakumbusha wapinzani wetu wakija waone huo ubao hapo ,watoke nduki
 
Hakika mkuu ! Lampard sio wa kumbeza afu anajua kucheza na klopp
Huyu Lampard sio kocha wa kubeza
alivyo tanua tu na kuzuia flanks tu na kulazimisha mpira uchezwe kati
tukapoteana hadi aibu


kocha lazima atafute solution ya midfield
kutegemea wingbacks kila siku..kuna siku tutaumbuka

kipindi cha pili presha tupu
 
Wakuu mimi naona kama huyu mmisri anashindwa kujijenga vizur na msenegali wetu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…