Nimehis hivyo mkuu ila wakati mwingine napata matumaini amepelekwa PL kuluko Championship labda kuna mpango mzuri juu yake.Uwepo wa Harvey Elliott na Origi unaweza kuwa sabubu ya Wilson kutokutoboa Liverpool
Huyu Wilson nahisi tu next season atauzwa
huyu Curtis Jones hata mini nampigia chapuo aise, sababu zangu ni his Compure with and without the ball, his passing ability"Curtis Jones and Grujic next season wanahitaji wapewe nafasi kwenye senior team
Jonjo na Suso juzi Commacho ha ha haa.Nimehis hivyo mkuu ila wakati mwingine napata matumaini amepelekwa PL kuluko Championship labda kuna mpango mzuri juu yake.
His golden left foot ikitokea ameuzwa i will be hurted indeed.
umesema sawa kabisa kaka ndogo ni talented but still RAW TALENT UNTIL WE SEE HIS NUMBERS ASSIST GOALS ETC....Harvey Elliott ni most talented Winger kuliko Mane na Salah
Najua watu watanipinga bila ya kuniuliza reason! Lakini ukweli ndiyo huo
Kwasasa at 16 bado ni Mdogo kumuingiza kwenye Senior Team lakini he is best than any other Liverpool player
Its only matter of Time before making his Debut at Senior Team
With Milner, Lallana, Shaqir and Lovren departing June 2020 those boys will be upgraded to the Snr Team...Curtis Jones and Grujic next season wanahitaji wapewe nafasi kwenye senior team
Pulisic bado yupo honeymoon haja click so far...Tricky game tomorrow.... Klopp needs to prepare for flanks attacks
Pulidic may get a game time and his trickery feet can land a defender into yellow or red card
Curtis kwa sasa aedele development alipo huku Snr team hakumfai cz competation of playing minutes is so high..atulie tu muda wake utafika...huyu Curtis Jones hata mini nampigia chapuo aise, sababu zangu ni his Compure with and without the ball, his passing ability"
Wapewe nafasi ili tuone wameshindwa na sio otherwise
Huyo akishapigwa knock tu tutamuona mwakaniPulisic bado yupo honeymoon haja click so far...
ishu is thier new namba 9 who is scoring like a serial pro kumbe bado kinda and its very interesting...
Matip sio beki makini ndugu yangu, anajitahidi kuimprove lakini bado sana
Kwa kweli ,jamaa anajenga hoja vzr ,mm miaka ya 2013 had 14 kama sikosei nilikuwaga napitia kusoma chambuzi zake humu ,na za mosdef , Najifunza vingi jinsi ya kutengeneza hoja kwa mtu .Sio kubishana tuNa ndio maana watu wanamchukia si unajua watanzania tulivyo
Type ya kina Bernardo Silva ,Harvey Elliott ni most talented Winger kuliko Mane na Salah
Najua watu watanipinga bila ya kuniuliza reason! Lakini ukweli ndiyo huo
Kwasasa at 16 bado ni Mdogo kumuingiza kwenye Senior Team lakini he is best than any other Liverpool player
Its only matter of Time before making his Debut at Senior Team
Liverpool paid a £1m settlement to Manchester City after the Etihad club complained that their scouting system had been hacked, Sky Sports News understands.
FT:
Lesta 2 - 1 Spurs
Kila msimu Huyu Spurs Kuna Watu hutaka kutuaminisha kuwa Yumo kwenye mbio za Ubingwa
HahahahahahahahahHasa wachambuz wa Radio Clouds Sport Extra