Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nafasi tumetengeneza kutoka Fullbacks kama kawaida yetu, No from Midfield
Angalia goli alilokosa Mane angalia pasi ngap zinamfikia Salah anafanya Nini na Yuko position gani na zinatoka kwan Nani tazama vizuri
 
kipindi kile Fabby alikua haja settle na kupata umiliki wa namba...

ila duhhh Adriana amekua msaada sana kwetu..

Here we go 2nd round
 
Hii VAR ni upumbavu kama upumbavu mwengine tu! TAA kanawa na Refa kapotezea hana haja ya VAR
Anyway haya ni maamuzi ya kutufavour sisi
 
Hii VAR ni upumbavu kama upumbavu mwengine tu! TAA kanawa na Refa kapotezea hana haja ya VAR
Anyway haya ni maamuzi ya kutufavour sisi

Nahisi ile sheria mpya wameamua kuikaukia, hata game ya City Vs Norwich kuna Man City alishika wakakausha.
 
Hii VAR ni upumbavu kama upumbavu mwengine tu! TAA kanawa na Refa kapotezea hana haja ya VAR
Anyway haya ni maamuzi ya kutufavour sisi
Marefa wenyewe wamenogewa na game acha tukipige kavu kavu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…