[emoji38][emoji38]Sasa unadhani striker zaidi ya dogo Rhian angewekwa nani benchi..Yani nikiangali Bench sioni Striker hata mmoja
Subs: Kelleher, Wijnaldum, Lovren, Gomez, Oxlade-Chamberlain, Lallana, Shaqiri.
Said this before!
MANE - BOBBY - SALAH
MILNER - FABINHO - HENDO
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ADRIAN
Here we go
Kwenye Game Napoli vs Liverpool Huenda Kwa asilimja 99.99999999% Hendo na Milner wataanza kwenye Mido
Yani: MILNER - FABINHO - HENDO
Mkuu hii mechi ni mateso kwa Milner,kwa viungo wa Napoli[emoji16][emoji16] Mkuu ana msaada bado..kile chuma.
Hee mi nachekesha 😆😲Kocha wetu kuna muda unatamani vichekesho vya Baba Swalehe kuliko kuangalia upangaji wake wa kikosi
Mkuu ulikuwa kwenye akili zake
Said this before!
MANE - BOBBY - SALAH
MILNER - FABINHO - HENDO
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ADRIAN
Here we go
Timu za Italia hazijawahi kunitetemeshaMimi leo nimejipanga kwa Draw tu! Ikitokea tumeshinda nitaihesabu kama ni added advantage
Jamani naomba msaada kwenye mobdro mechi ya UEFA ipo channel gani??
Hee mi nachekesha [emoji38][emoji44]
ShukuraniSina uhakika kwasababu nipo kwenye SuperSport lakini angalia Channel zote za BT SPORT na BEIN SPORT nakuhakikishia utaunasa tu mchezo.
hahaha mkuu una roho ngumu...salute you comrade in what you believe and see in Hendo...Duuh kweli kila mtu na mtazamo wake..
Hee [emoji28][emoji28]Tayari ushabadirisha avatar
Sio dhambi manHee [emoji28][emoji28]
Kuweka mwanangu ni dhambi kwani ?