Ila kwa game ya Leo hata game ile ya UCL kwao.. against them walikuwa ukiwachek kwa makini wanatumia mwanya wa left and right back kupitisha cross zao na wakafanikiwa pale kati tuko vizuri kwa assist tu chambo kapona yupo boby Hendo Yuko sharp kumchungulia mane ..mi mtazamo wangu tu ni kumuheshimu mpinzani huku tunamsoma Gomez anakaa kulia anaanza Chambo ama Gini badala ya milner huku Hendo na fabinho ..TAA ausome mchezo kwanza .TAA vs Napoli pre season he ws pathetic to be precise..s Ganaz, Vs Castle i dd see some flashes of what made him our 1st choice RB...may he get back that form...we got to admit he is the best shot on that sopt...Gomez or Milner cant offer that continuos threat going forward...
playing as a unit means Salah and Hendo have to assist in tracking back rather not living TAA alone to suffer...
Ok ok ngoja tusubiri mudaMkuu Gomez huyu wa sasa siye wa last season.
Kwa Gomez huyu basi TAA >>>>>>>>>> Gomez
Gomez hawezi kuwa hata mbele ya Matip kwasasa! Kwahiyo na vilevile hawezi kuwa Mbele ya TAA.
Hata last season alipokuwa mzima Gomez alikuwa mzuri kwenye Kukaba tu! Lakini kwenye kushambulia sio mzuri sana! Wakati TAA kwenye kukaba sio mzuri lakini kwenye kushambulia yupo vizuri kuliko Baki 2 yeyote yule Duniani kwa muda huu.
Na kumbuka kuwa kutokana na kuwa na Fake Mido / Yes ninaiita Fake kwasababu ni Kombi ya Mido pekee duniani ambayo ukiwaunganisha kwa pamoja (Gini-Hendo-Fabi) hawafikishi Assists 10 wala Goli 10 in all competitions jambo ambalo ni Wonder of the Century....
Mido mmoja tu (AM) anatakiwa kwa Msimu mmoja amalize na 10+ assists with 10+ goals in all competitions. Sasa sisi uwachukue Mido wetu wote watatu combined hawafikishi assists 10 na goli 5 per season! Kwanini nisiwaite Fake Midos???
AM wetu ni Hendo sikumbuki kufika 5 assists au 5 goals katika season yoyote ile (Kama ipo nakubali kukumbushwa).
Kwahiyo hatutegemei Mido kwenye Kutengeneza Nafasi bali tunategemea Mabeki wa Pembeni (TAA & ROBBO) na Mabeki wa Kati Hasa MATIP yupo vizuri kwenye kuanzisha mashambulizi! Kwahiyo haitowezekana Kumueka Bench TAA kwa reason yoyote ile kwani Ndiye tunayemtegemea kwa asilimia zaidi ya 70% kwenye kutengeneza Nafasi na Kuassists Mafoward wetu.
Milner amekwisha hawezi kabisa kuendana na Pace ya Vijana! So, kumieka Beki wa Pembeni ni kujirisk tu pale anapokutana na Winger mwenye Pace.
Ni bora awe sabu tu kwenye Midfield
WORDNaujua ubora walionaoo Napoli kuanzia kwa kocha wao mpaka wachezaji,Droo itakuwa good result kwangu.
KabisaKiuhalisia Huyu ndiye aliyetupa Kombe last season but hapewi sifa yake anayostahiki tu
Diiih 5. Weeks sipati picha simu zinavyopigwa Dubai ..Pep lazima ajiunge bando la chuo awaimbishe mabwanyenye[emoji16]Man City are without Laporte for 5 months and now Stones is out for 5 weeks.
The title race is well and truly in Liverpool’s hands.
Jipe moyo mkuu ndugu yetuAman iwe nanyi
Leo wahuni wa pale darajani tunaenda kushuka dimbani kumchakaza Valencia kutoka spain
Leo Valencia atakula si chini ya gor tano
Juzi tumetoka kumchapa mume wa man united wolves mkono
Sasa leo ni zamu ya Valencia na jumapili ni zamu ya Liverpool
Tukane saa nne wazee wa champion
Wazee wa futuhi man united na arsenal na nyie mkutane kwa diallo pale star tv kucheki futuhi ya akina brother k
Nimemaliza
LONDON BOY
Ameanza mzeeKwanini Millner aanze?
Sidhani kama Milner bado ni Mchezaji wa kiushindani at 34 age
kama mnakumbuka vyema last season UCL vs Napoli we were outplayed in every aspect yaani they made us look our under 18s, hawa jamaa si watu wazuri hata kidogo...Ila kwa game ya Leo hata game ile ya UCL kwao.. against them walikuwa ukiwachek kwa makini wanatumia mwanya wa left and right back kupitisha cross zao na wakafanikiwa pale kati tuko vizuri kwa assist tu chambo kapona yupo boby Hendo Yuko sharp kumchungulia mane ..mi mtazamo wangu tu ni kumuheshimu mpinzani huku tunamsoma Gomez anakaa kulia anaanza Chambo ama Gini badala ya milner huku Hendo na fabinho ..TAA ausome mchezo kwanza .
seems Mother Luck is on our side...Man City are without Laporte for 5 months and now Stones is out for 5 weeks.
The title race is well and truly in Liverpool’s hands.
i foresee this from genius Klopp....Millie Mr Utility back in the 1st 11....Liverpool XIView attachment 1210064
Kwenye Game Napoli vs Liverpool Huenda Kwa asilimja 99.99999999% Hendo na Milner wataanza kwenye Mido
Yani: MILNER - FABINHO - HENDO
[emoji16][emoji16] Mkuu ana msaada bado..kile chuma.Klopp na Milner dah
Duuh kweli kila mtu na mtazamo wake..i foresee this from genius Klopp....Millie Mr Utility back in the 1st 11....
Oh dear ones i remember Millie was a pedestrian vs Redstar away, Vs PSG away na leo kawekwa at 34 he aint the same boy we got fromCitizen vs the quick Italians well fingers closed...
we have two bams to dally around like headless chickens ama kweli Klopp knows how to put us on the edge....
i pity Fabby atachoshwa mpaka basi yaaani...