Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Team Rotation mwisho iwe kwenye FA na Carabao lakini sio EPL

Kumbuka Jana alipokaa Nje Bobby tu basi kilichokuwa kinachezwa kilikuwa hakieleweki!

Same akikaa nje mmoja Kati ya Mane au Salah (Don't tell me Salah was out and defeated Barca) lazima tutapata shida.

Mane, Salah na Bobby hawa wote watatu ni lazima waanze kila mchezo wa EPL regardless mashindano mengine

Bobby bila ya Salah na Mane will be nothing coz chance zake anazocreate will be lost in vain

Mane bila ya Bobby na Salah will be nothing too coz no one will create for him

And the same kwa Salah without Mane and Bobby

No chances for Origi and Xhaqiri to start kwenye game yoyote ya EPL according to mahitani yetu ya hii Ndoo
Better for them kuingia as a sub.
 

Exactly, nachosema ni kwamba jamaa wakomae kwenye League Cup (Carabao) na FA, tusitolewe mapema ili wawe na game time, hii inasaidia kwenye dharura za EPL, maana kuna majeruhi zinaibuka kwa hiyo kuwe na watu wa kuziba pengo haraka ambao wana game time.

Pia kocha anaweza kuwatumia kwenye garbage time, like if we have 3+ goal difference and it is 60-70th minute, why not?
 
Hapo sasa beki wetu nikadhani macho yangu kuna ukabaji flani wanakuwa kama hawana papara which is good lakini sasa..mfano mchezaji pinzani anaweza akawa anakuja na mpira kutafuta chance ya kupiga anaweza akazengewa zengewa ila kuna situation inatokea mchezaji akibahatika kupiga unakuta beki inamuacha kwa kuamini nafasi aliyokaa haitamsumbua kipa kuokoa jahazi(nadhani wanaogopa deflection )..sasa kwa Adrian jamani daah...bado ngoja tuone Napoli .
 
Mkuu acha kuvuta sigara ukiwa umejificha
Ndo ivo kiongozi ..hutoamini

Sisi ndo tutakuwa wa kwanza kupunguza point ..kama sio kuchukua zote tatu bas tutachukua moja...

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
moyo wangu unakubaliana nawe by 101%.
but brain yangu inagoma aisee.....
 
Upo sahihi king, nimeona mahali January wanaweza kurud sokon kutafuta CB, ni dhahiri beki ya city Inabebwa na Laporte
 
moyo wangu unakubaliana nawe by 101%.
but brain yangu inagoma aisee.....

Ha ha ha ha ha

Kwasasa nina Imani ya 100% without any single pressure kwa Mabeki

Pia nina imani 100% without any single pressure kwa Forward yetu

But I've only 25% of trust with 100% pressure kwa Midfield yetu

Only one signing ya Attacking Midfielder will turn things around
 
The African Prince About To Be Awarded The New Deal

Liverpool have opened talks with Sadio Mané to improve his current contract, @SoccerLink_ report. Current deal runs until 2023.
good move the earlier the better...

Mane is ours to hold for long...
 
this is exactly what will happen to us the day our VVD (touch wood) goes missing from the lineup.

God forbid!
Relax kaka Best Defender Lovren kabakishwa kwa kazi hio banaaaaaa..

hahaha fingers crossed....i totally wish that bad omen to pass us by FAR...we need this lads fully fit not otherwise..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…