Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp Press Conference
(Key Points)​

  • Alisson expected to return after October international break​
  • Keita could be back in training next week​
  • Pleased Mane and Salah were spared international duty​
  • Mane happiness and squad morale​
  • Talks extending the Anfield unbeaten run​
  • And your standard wary of Newcastle soundbite​
 
Kwa injuries hizi za kila siku! Karibu nita declare kuwa kwa Keita tumepigwa

Kwa sasa mpaka mwenyewe anaona aibu maana timu nzima wako vizuri tu kabaki peke yake majeruhi kila wakati,wenzake wote wazee wajeruhi wamepona wakina lallana,yeye kila wakati majeruhi hafikishi mechi 5 kaumia.
 
haha Hardest job inamfaa sana VVD he just make everything look very easy.....

Mkuu kuhusu hili la Hendo sidhani kama atakuja kubadilika mi hua namuona ni mwenye bahati zaidi ya wote pale klabuni....

nabaki kusema ni Klopp tu mwenye jibu sahihi inakua aje huyu Hendo awe juu ya Gini, Faby, Ox, Keita, Millie,Shaqir hua sielewi kabisaa ni lipi alionalo Klopp na sisi wengine hatuoni...
 
Hahahhahaaaaaaaaaaa
 
Newcastle - W
Napoli - D
Chelsea - D
MK Dons - W
Sheffield - W

• 7 points EPL
• 4 points UCL

Only my view
hata Chelsea ni win hopefuly hatutapata shinda na hii break iliyotokea maana kuna wakati hua inazingua....

Naples hii will go any way wale jamaa wali match whatever we threw last season sasa msimu huu bado makini sanaa...

Mk wapewe akina Kijana, Lallana, Shaqir, Lovren nk wapambane nao...

The Blades tempo itakua imerejea hivyo tutakwenda sawa na hapo ushindi upo....
 
Keita abakie kwenye rehab hatuna haraka ya kumuona aafu ghafla mechi mbili aumie tena...

ni bora watulie nae mpaka awe fit kuliko hii cure and rush haimbariki kamwe...
 
Kweli mi naona VVD kawabadilisha backline yote ya liver sahiv hawana papara kukaba /kumkumba striker akiwa na mpira (utasema anawapa uhuru vile kumbe la)...wanasemaga Kuna wachezaji wakiwa na mpira unauona ni mchezo rahisi...Sasa VVD akikaba na kuzuia utasema kirahisi vile Kama 'kifaza' flan...sikushangaa Kampany kumkubali zaidi ya wote waliokipiga EPL maana wengine nirafu tu hawakuwa smart ...kweli ila skipper Hendo yupo na watu Bora sasa ana bidii muache ale maisha..English player.
 
Kwa injuries hizi za kila siku! Karibu nita declare kuwa kwa Keita tumepigwa
Jamaa alisha komplain kua hana mahusiano mazuri na baadhi ya ndugu zake huku afrika na wanamroga, i dont want make you to believe it or not lakini alishasema kua anarogwa na na baadhi ya ndugu zake baada ya kusajiliwa liverpool
 
ni sahihi Hendo ni typical English player ale tu maisha kwa kweli...he is our Captain hatuna namna tutake tusitake the gaffer always stand by him hata akiboronga yumo tu...

VVD anaelekea kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia, anafahamu hard work pays hivyo atazidi kujituma zaidi awapo uwanjani na kwa vile Ramos anaelekea ukingoni naona Madrid wakija mazima...

VVD has made our backline so solid that super flop to be Matip sasa amekua ngangari mno na wengine wameongeza kazi kazi....

Sky is the limit for the boys
 
Yupo kwenye kliniki moja matata sana
atulie huko huko aje Januari tu binafsi nimechoka na wanavyomuaisha uwanjani aafu ghafla unasikia mechi nne zijazo hayupo....

hatuna upungufu wa ma MD waliopo so far wanakipiga vyema...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…