Kumbuka bizuriHuwezi kumuuza beki kipindi hiki hapa, hizo si fikira nzuri, siku zote mpira lolote laweza kutokea, wakati tunacheza na buyern kule Germany VVD alikuwa suspended, Gomez alikuwa kitandani, matip kitandani, pale nyumba alisimama Lovren na Fabihno, buyern akala 3 kwa 1, leo hii ww unapambana lovren auzwe wakati hatujasajiri mwingine, ikitoke injury au suspension kati ya hao watatu waliopo twafanyaje? Jaribu kufikiria sawa sawa ndg yangu Gwaba
Pale EPL structure ya Manciti tangu aje Pep wana pay structure poa kabisa...kulipa kutokana na mchango wa kuiletea timu mafanikio, attitude nk, wale jamaa ni wavumilivu na wanajua kubebeleza si kawaida aliwai kutingisha Sterling na kambi yake kudai alipwe zaidi ya wengine nk alitulizwa kimya kimya hatimae akasaini..sasa akaja Sane Leroy huyu wakampa extention akagoma kusaini akiforce akwede Bayern wakasema ofa ije ya kusisimua watamwachia hatimae akaumia na Bavarians wakawa bado hawaweza kumpata...kama umecheki hivi karibini pia academy yao inazalisha wachezaji lkama akina Sancho, Duncan lakini kutokana na structure yao perfomance based basi wanakua ni ngumu kutoboa team A...unakumbuka pia ishu ya Toure..Hawajakosea kumpa huo mshahara huyu Dejan Lovren, Lovren once a starter at CB katika EPL Big Club na umri umeenda hawezi kuwa anachukua less than that salary
Huo mshahara ni Median Salary in all Big Six and Europe top but rich Clubs
Liverpool Club wasipolipa mishahara mizuri ndio yatatokea hayo ya Spurs wachezaji kutokuwa na furaha sababu ya mishahara midogo.
Italeta lawama na kutarnish image of the Club . EPL ni ligi ambayo haitakuwa inaeleweka kama mishahara itakuwa midogo wakati ndio ligi tajiri kuliko ligi yeyote duniani
Mane & Firmino wapo on more than £150k which it's kind of enough for the two
Anaetia huruma ni Allison ambae it's reported bado hajafika mshahara wa £100k
Kiongozi nakubali sana mchango wako hapa jukwaani. Unafanya kuwa wewe ndio kiongozi wetu mkuu hapa.
Mhh!
Labda kiongozi wako ww
Mtakapoanza kukalia tusikimbiane bandugu.Kombe la ligi tunachukua na Uefa champions tunachukua ndoo
Baelezeage baelewe.Usijipe matumaini ambayo ni mazigazi kijana
Klopp midfield yake ni Fabinho, Gini na Henderson, Guardiola midfield yake ni Rodri, Kevin DeBruyne na Gundogan. Sasa kaangalie takwimu hao non-holding midfielders wa Guardiola(Gundogan,Debruyne na David Silva) huwa wanatoa assist ngapi na kufunga goli ngapi kwenye ligi halafu ulinganishe na kiungo pendwa ya Klopp yaani Hendo na Gini huwa wanatoa assists ngapi na kufunga golli ngapi
Tukija kwenye Forwards, Liverpool ana Salah, Mane na Firmino kama Forwards wanaoshinda goli nyingi huku Man City ana Aguero ambae kufunga goli 20 kwa msimu sio swali, kuna Sterling nae anafunga goli nyingi, kuna Sane nae anajitahidi(goli 13 anakupa), kuna Gabriel Jesus (goli 13 anakupa) benchi kuna Mahrez halafu sijamuongelea Bernado Silva
Wekeni mapenzi pembeni Liverpool yuko vizuri ila kipindi hiki kakutana na Manchester City chini ya Guardiola ambayo haina mchezo kwenye ligi.
Binafsi siwezi kuitabiria Ubingwa Liverpool, tutakuwa wote mashuhuda mechi ya mwisho ya Liverpool kwenye EPL.
Ila kama Guardiola asingekuja Uingereza basi huu ndio ungekuwa muda wa Liverpool kutamba tena kama ilivyokuwa kabla ya mwaka 1990
Me kila nnapokua na simu mkononi km ina MB. Kwangu mimi ile game imepindua hata "night at istanbul"Mimi kila Wiki lazima niangalie highlights za hiyo gemu kwa kweli haichoshi.
Mkuu umetisha. Unanipa hamasa flani iv.Mzee liva inanipa hasira ya kutafuta maisha
Sa hivi nasaka money nataka niwe na pesa za kutosha
On two years to come kukiwa na game lolote la liva ambalo nataka niende nikali view uwanjani
Naenda bila ya kujali flight fairs au kiingilio cha uwanjani yaani nikijisikia kuangalia mechi
Niende uwanjani
I love this team aisee !
Emre Can:Pale Emre Can aliposema anataka Kujiunga Timu Kubwa - Juventus
Sasa ajiandae kurudi Augsburg au Frankfurt Manake hakuna Timu kubwa inayomjua tena kama anaexist
Huyu muache ale ujinga wake. Alishapewa dimba pale kati akajiona Cake. Now tuna Fabinho akalale mbele arudi leverkusen tu hakuna namnaEmre Can:
"I am shocked and angry. Last week, the club promised me something else, yesterday the coach called me and told me in less than a minute that I was not in the Champion league squad. I can not explain it, I have not been given any reason."
Kiburi dawa yake jeuriEmre Can:
"I am shocked and angry. Last week, the club promised me something else, yesterday the coach called me and told me in less than a minute that I was not in the Champion league squad. I can not explain it, I have not been given any reason."
Huyu muache ale ujinga wake. Alishapewa dimba pale kati akajiona Cake. Now tuna Fabinho akalale mbele arudi leverkusen tu hakuna namna
Mwacheni Hendo apumue.
Ina maana hawa makocha wote waliompanga nao ni vilaza
1.King kenny
2.rodgers
3.Kloop
4.Southgate
Yaani wewe shabiki ndo ujue kila kitu kuliko hawa wanne. Kila mchezaji ana faida zake na hasara zake pia.
Emre Can:
"I am shocked and angry. Last week, the club promised me something else, yesterday the coach called me and told me in less than a minute that I was not in the Champion league squad. I can not explain it, I have not been given any reason."
mwache Klopp aitwe Klopp aisee.
huyu dogo alipokuwa Anfield akam-beep Klopp, mara akakuta the gaffer anapokea. kaenda Juve na nyodo kibao but look at him now.. poor him!
View attachment 1197760
View attachment 1197761