Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We ni timu gani hebu tuanzie hapo kwanza !
Usijipe matumaini ambayo ni mazigazi kijana

Klopp midfield yake ni Fabinho, Gini na Henderson, Guardiola midfield yake ni Rodri, Kevin DeBruyne na Gundogan. Sasa kaangalie takwimu hao non-holding midfielders wa Guardiola(Gundogan,Debruyne na David Silva) huwa wanatoa assist ngapi na kufunga goli ngapi kwenye ligi halafu ulinganishe na kiungo pendwa ya Klopp yaani Hendo na Gini huwa wanatoa assists ngapi na kufunga golli ngapi

Tukija kwenye Forwards, Liverpool ana Salah, Mane na Firmino kama Forwards wanaoshinda goli nyingi huku Man City ana Aguero ambae kufunga goli 20 kwa msimu sio swali, kuna Sterling nae anafunga goli nyingi, kuna Sane nae anajitahidi(goli 13 anakupa), kuna Gabriel Jesus (goli 13 anakupa) benchi kuna Mahrez halafu sijamuongelea Bernado Silva

Wekeni mapenzi pembeni Liverpool yuko vizuri ila kipindi hiki kakutana na Manchester City chini ya Guardiola ambayo haina mchezo kwenye ligi.


Binafsi siwezi kuitabiria Ubingwa Liverpool, tutakuwa wote mashuhuda mechi ya mwisho ya Liverpool kwenye EPL.

Ila kama Guardiola asingekuja Uingereza basi huu ndio ungekuwa muda wa Liverpool kutamba tena kama ilivyokuwa kabla ya mwaka 1990
 
well said TAGGED...until Grujic is available next season huyu Hendo bado tunae sana tu...

Position wise he is shit kwa kweli...that the missing number to have a fully operating unit...

simshangae Klopp kukomaa na 4 3 3 maana he lacks the 'right' kind of players he needs to change the system...

Lovren tumebaki nae jamaa anakula i guess £90,000 kwa wiki lol parefu mno...he aint getting any better...Manu wamemwodoa Sanchez cz he aint any better for them despite pocketing over 400,usd per week....
 
Hahahaha kweli hili povu zito...ingawa nahisi hili ni povu lako umelileta indirect.
 
Kila zama na kitabu chake
 
hana namna yeye ajitoe VVD kwanza ndio miaka 28 anaelekea kwenye ubora wake....

hata hao uliowataja walitanguliwa na wengine bora zaidi yao...ndio mpira ulivyo ndugu..

VVD huyu huyu wa kawaida kapata kua mchezaji bora wa UEFA tena akiwa sio kule Spain kama tulivyozoea mbali na hapa kwa majogoo wa jiji na anelekea kua mchezaji bora wa Dunia..

mpaka sasa kashatia kibindoni Makombe mawili makubwa UEFA SUPER CUP na CHAMPIONS LEAGUE....

Vidic na Rio na ubora wao hawakuwai kushinda hio SUPER CUP hivyo huyu VVD katika hilo kawazidi kete...

VVD kapteni mtarajiwa...
 
When i want to give up on anything

Huwa narudi kuangalia game ya come back yetu na barcelona

Aisee huwa spirit yangu inakua lifted up faster

Kwamba never give up !!!

Never give up mani

I remember siku ya huu ushindi nilikua na paper moja hatari sana

Wazungu wanatunga mitihani aisee ... Yaani unaweza ukakimbia

Nlkua nakaribia kukata tamaa , neuroscience si mchezo

Aisee after beating them nlipata spirit moja hatari sana

Nlfumua lile pepa haijawahi kutokea


This team i love it deeply from my heart !!

Champions... [emoji7]
 
Kiongozi nakubali sana mchango wako hapa jukwaani. Unafanya kuwa wewe ndio kiongozi wetu mkuu hapa.
 
Mimi kila Wiki lazima niangalie highlights za hiyo gemu kwa kweli haichoshi.
Mzee liva inanipa hasira ya kutafuta maisha

Sa hivi nasaka money nataka niwe na pesa za kutosha

On two years to come kukiwa na game lolote la liva ambalo nataka niende nikali view uwanjani

Naenda bila ya kujali flight fairs au kiingilio cha uwanjani yaani nikijisikia kuangalia mechi

Niende uwanjani

I love this team aisee !
 
wow all the best Baba S....
 
It's not a guess, you were right Kop

Lovren anachukua £80k hadi 90k kwa wiki , sema na umri pia umechangia jamaa kuwa katika level hiyo ya mshahara.

VVD, Allison, Fabinho nilikuwa naomba sana wapewe £200,000 kwa wiki maana hata Spurs nao wapo wana adjust mishahara yao , Kane na Ndombele wapo kwenye £200k salary, Eriksen wamemuwekea zaidi ya £170k mezani ingawa anasuasua kusaini.

Salary policy inatakiwa kubadilika sasa maana kama Spurs ambao huwa nyuma yetu kwenye mapato ila wamewapa £200k wachezaji wawili and could be more ila sisi £200k yupo Salah peke yake
 
well said Loverness....Wolves bana wale gongagonga msimu huu wameanza na Europ wapo kama Burnley last season...tayari ile presha ya kucheza Europa Alhamisi na ligi wekedi imeshaanza kuwavuruga....

Mechi ya Everton kama wakielewana vyema wana kikosi kizuri....na high line yetu wana wachezaji wakutututia kashikashi....

Manu bado wapo wapo ila kwa vile ni battle ya great Reds hapo hua haina mwenyewe kwa walivyo we should be walking away with the 6 poiitnts this term..
 
Moja ya sababu aliyotoa Klopp kutosajili mchezaji wa kuingia Team A direct ilikua ni ishu za kwamba pamoja na mambo mengine Klabu inalipa mishahara....

sasa natuamini pengine baada ya kupata haya makombe mawili basi wanaostahili kuongezwa mpunga basi waongezwe na pengine kuwaongeza na mikataba....

Kama Salah mshahara pekee na hio £200 basi mpaka Adds on ndogo antoka vizuri mno...

Firmino, Mane, VVD, Allison, Robbo, TAA, Matip, Gomez wanastahili kama mikataba yao inaruhsu basi waongezwa ila sasa kuwe ma harmony kusiwe na ridiculous highest paid na lowest paid hili hua linaleta discomfort na mshnikamano kwenye timu...Pep pale Manciti wont pay above the agreed structure .

ni muhimu sana kua na capping kwenye Salary...

Spurs ishu pale ni kwamba baada ya kumaliza uwanja sasa they have that freedom lakini zamani wasingeweza na hii iliwanyima pia wachezaji wengi wazuri kwenda kwao...sasa angalau kwa vile baada ya kufika fainali na wachezaji kuongea laivu kutoridhiswa na malipo naona wameelewa this days Money is football and football is money...

Lovren sielewi wakati analipwa huo mshahara Klopp aliona lipi kwa huyu mjamaa
 
Kila la kheri mliverpool mwenzangu kwa kweli inapendeza sana.
 
Hawajakosea kumpa huo mshahara huyu Dejan Lovren, Lovren once a starter at CB katika EPL Big Club na umri umeenda hawezi kuwa anachukua less than that salary

Huo mshahara ni Median Salary in all Big Six and Europe top but rich Clubs

Liverpool Club wasipolipa mishahara mizuri ndio yatatokea hayo ya Spurs wachezaji kutokuwa na furaha sababu ya mishahara midogo.

Italeta lawama na kutarnish image of the Club . EPL ni ligi ambayo haitakuwa inaeleweka kama mishahara itakuwa midogo wakati ndio ligi tajiri kuliko ligi yeyote duniani

Mane & Firmino wapo on more than £150k which it's kind of enough for the two

Anaetia huruma ni Allison ambae it's reported bado hajafika mshahara wa £100k
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…