Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hilo tunalijua ,maana ile trio mane bony salah wana kasi sana .Njia moja tu ya kumfunga Liverpool, Defend Deep.
Ukidefend Deep a.k.a Kupaki basi then muvizie Kaunta, Hapo utafanikiwa kutufunga au kutoa Sare kwani hatuna Midfielder mbunifu wa kuweza kupenetrate mipira kwenye defence iliyopakiwa.
Lakini Mukijifanya kuitaka Game mapema mukapandisha Viungo wote juu pamoja na washambuliaji! Hapo Kina Mane na Bobby lazima wawapoteze.
Na hilo ndiyo kosa alilolifanya Emery last season pale alipokuja Anfield kujifanya game anaitaka.
DAN CEBALLOS
......We know it will be a tough match against the European champion. Absolute respect, but no fear. We go all out! Let´s go Gunners![emoji123][emoji123]"
Spurz yule najua nitamnyoa kwa wembe gan, mech ya Liverpool nasubiri lineup maana ipo ki tactic zaidi.Watambie Chelsea na manure lkn, Liverpool, Spurs na City watakunyoa nje ndani
Lolote linaweza kutokeaIf arsen plays cebalos as cam and use two holding midoz, plus auba and Pepe on the wings.... We are in trouble
I can only guess that Klopp will settle for his usual favourite "dark artists" in the engine room (Fabi, Millie/Gini, Hendo) vs the Gooners.If arsen plays cebalos as cam and use two holding midoz, plus auba and Pepe on the wings.... We are in trouble
Lolote linaweza kutokea
Naamini kama Firmino na Mane wakiamua kweli hiyo gemu Arsenal tunawapiga nyingi sana Maana Aina na Lacazette sio tishio kubwa sana kwetu kwa navyoona
Wewe badala ya kuomba wachezaji wote waliopo kikosini wawe mtu ili timu izidi kuimarika, cha kushangaza ww unaombea wengine wapoteee, aiseeeee una akili ya pekee sana rafiki yanguAOC asaini Mkataba Mpya utakaomalizika 2023
Hii inaonesha wazi kuwa Klopp amemueka kwenye mipango Yake
Lakini injury za Mara kwa mara ndiyo tatizo
Hope he'll be fit ili ampoteze Hendo kama alivyopotezwa Lovren
View attachment 1188041
Mshahara wamempa ngapi?AOC asaini Mkataba Mpya utakaomalizika 2023
Hii inaonesha wazi kuwa Klopp amemueka kwenye mipango Yake
Lakini injury za Mara kwa mara ndiyo tatizo
Hope he'll be fit ili ampoteze Hendo kama alivyopotezwa Lovren
View attachment 1188041
Hivi Henderson ukiacha kipaji chake cha uongozi/uhamasishaji ana lipi zaidi pale uwanjani kuliko Keita au Ox?Wewe badala ya kuomba wachezaji wote waliopo kikosini wawe mtu ili timu izidi kuimarika, cha kushangaza ww unaombea wengine wapoteee, aiseeeee una akili ya pekee sana rafiki yangu
Sasa hao Keita na Ox wako wamecheza mechi ngapi na wameshafanya kubwa lipi pale za kuwa hosiptali muda mwingi?Hivi Henderson ukiacha kipaji chake cha uongozi/uhamasishaji ana lipi zaidi pale uwanjani kuliko Keita au Ox?
Tatizo arsenal timu ya kucheza mpiraNjia moja tu ya kumfunga Liverpool, Defend Deep.
Ukidefend Deep a.k.a Kupaki basi then muvizie Kaunta, Hapo utafanikiwa kutufunga au kutoa Sare kwani hatuna Midfielder mbunifu wa kuweza kupenetrate mipira kwenye defence iliyopakiwa.
Lakini Mukijifanya kuitaka Game mapema mukapandisha Viungo wote juu pamoja na washambuliaji! Hapo Kina Mane na Bobby lazima wawapoteze.
Na hilo ndiyo kosa alilolifanya Emery last season pale alipokuja Anfield kujifanya game anaitaka.
Wewe badala ya kuomba wachezaji wote waliopo kikosini wawe mtu ili timu izidi kuimarika, cha kushangaza ww unaombea wengine wapoteee, aiseeeee una akili ya pekee sana rafiki yangu
Sasa hao Keita na Ox wako wamecheza mechi ngapi na wameshafanya kubwa lipi pale za kuwa hosiptali muda mwingi?
Hahahahahahahahah LIVERPOOL COME FIRST ME over maswala ya kuabudu sijui mchezaji flani mzuri,mwingine mbaya its Nonesense.Wewe badala ya kuomba wachezaji wote waliopo kikosini wawe mtu ili timu izidi kuimarika, cha kushangaza ww unaombea wengine wapoteee, aiseeeee una akili ya pekee sana rafiki yangu