Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lovren jamani apelekwe under 23 huko maana huyu hua namuona kama betri la lori la Moro anytym anaharibu....mpaka Klopp kaamua aodoke alishaona hana jipyaa....ohhh how i wish Hendo/Milli huu nae uwe msimu wa mwisho...we need space ya akina Grujic...

Lovren kwa kweli huu mshahara sio haki yake kamweee yaaani how lucky can its get kama hivi..
 
Hii team haikupaswa kuwa na uzi humu ndani #mashabiki zake wengi wamekufa miaka ya 70 na 80 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmeanza maneno ?
 
Sema unajichekesha sana mwana
 
Yani hawa jamaa bana. Washajiona ni title contenders [emoji23] [emoji23]
Mm nawachora tu , maana sisi wahafidhina wa EPL ,sio wageni wa man u , na timu yao tuliona ilivyopoteana kwa hii Chelsea kabla hawajaja kupata magoli baada ya Zuma kuchomoa betri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…