Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mbaya wenu hazard, mzee wa kupasua ngome ya kina VVD +MATIP, hayupo mngekula za kutosha nyie majogoo
 
King Ngwaba njoo ubishe hapa [emoji3], we are the true cops , kubishana kwa hoja tu,
 
wow this is real dope thanks mate...
 
Kwakile kilichotokea OT sitegemea maajabu zaidi. Naacha dakika 90 ziamue sina expectations za kufanya vizuri wala vibaya wacha vijana wapate experience.
hakika jpili hamkua vimbaya kivile ndugu yangu...naamini Lamps atajitahidi kuwanoa kua clinical zaidi...
 
As expected,Chelsea wamekuja kwa nguvu
Lkn insha Allah Mungu yupo na sisi
 
Rudiger hajaanza. Wewe unawaona Zuma na Christensen. Lazima uchanganyikiwe
Kwa viungo Kante Jorginho na Kovacic tayari tumeshapotea pale kati. Sema nafuu yetu ni backline ya Chelsea. Only Rudiger ndio anaonekana kuwa strong.

Kwa kweli some tyms Klopp naye anatuweka matumbo moto sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…