unahama unaenda kujifungua au?Kuna wale madogo walionunuliwa naona wote wameshatupwa U23
Next season wanatafutiwa timu za Mkopo
Tunabaki na kikosi kilekile cha last season ambacho tumeambiwa Lallan na OX ni new signing.
Iwapo Lallana na OX watacheza game 10 mfululizo bila ya injury ya zaidi ya wiki 4 nahama JF
Wewe dogo Maguire asikupe kiburi cha kuficha kichwa matako yanachomekewa dudu Manchester akikaza sana atamaliza league nafasi ya 5Ukuta wa chuma Man United
unahama unaenda kujifungua au?
Kwani wewe unatakaje?[emoji123]Aisee mbona inaonyesha kama una stress sana ? Nini shida?
Wewe dogo Maguire asikupe kiburi cha kuficha kichwa matako yanachomekewa dudu Manchester akikaza sana atamaliza league nafasi ya 5
samahani mkuu[emoji134]Vipi mzeebaba mbona kama umevurugwa?na ni kiashirio kikubwa cha upotezaji amani hapa jukwaani ...haya sio maneno rafiki na mazingira yetu aisee
Hahah shida nn sasa√ Spurs anazidi kujiimarisha
√ Man City anazidi kujiimarisha
√ Man United anazidi kujiimarisha
√ Arsenal anazidi kujiimarisha
• Chelsea transfer ban
× Liverpool banned itself from transfer
Kwani wewe unatakaje?[emoji123]
Amna katika kuchangamsha genge tu[emoji3][emoji120] sihitaji kitu arifu, ila pole, inaonyesha umevurugwa huko ulipo, pole mkuu
Mkuu taratibu , amani itawaleunamlalamikia nani sasa ?[emoji16]
anaogopa Majogoo itakua...mind you yeye target ni UCLPep kweli yupo serious! Yani anaendelea kusajili kwa kumnasa Joao Cancelo
hahahaha King Ngwaba game 10 wazipate wapi like serious dakika 90 kazi kazi...hapo kwenye hio list ongezea Keita,Lovren, Gomez TAA, Henderson na Matip....Kuna wale madogo walionunuliwa naona wote wameshatupwa U23
Next season wanatafutiwa timu za Mkopo
Tunabaki na kikosi kilekile cha last season ambacho tumeambiwa Lallan na OX ni new signing.
Iwapo Lallana na OX watacheza game 10 mfululizo bila ya injury ya zaidi ya wiki 4 nahama JF
ongezea hapo na Everton na Wolves wamefanya very smart buying...pazuri ni pale mwakani mwezi wa sita dirisha kuu sioni tukibakisha wafuatao aidha wote au kunao watakaodoka for new challenge Mane, Salah, VVD, Firmino, Allison, Fabihno...√ Spurs anazidi kujiimarisha
√ Man City anazidi kujiimarisha
√ Man United anazidi kujiimarisha
√ Arsenal anazidi kujiimarisha
• Chelsea transfer ban
× Liverpool banned itself from transfer
anaogopa Majogoo itakua...mind you yeye target ni UCL
BECKER
TAA
MATIP
GOMEZ
VVD
LOVREN
ROBBO
FABI
GINI
HENDO
MILLIY
KEITA
OX
LALLANA
MO11
BOBBY
SAD10
ORIGI
XHAQ23
Hizo ndiyo sura tutakazoziona msimu huu wa 2019/20
Hao kina Brewster, Berg, Ki-Jan, Elliott wasubiri tu Carabao na FA.
Kwaio inamaanisha city uefa ni kama liverpool epl??Kuna sehemu nilisoma amesema hawezi kuirisk EPL kwa ajili ya UCL.
Kubeba CL ni kama asili kwa timu husika.
Nikiitazama Intermilan ya 1998 - 2000 ilisheheni kila Kipaji lakini ilishindwa hata kucheza Fainali ya CL.
Ukija PSG ya last 2 seasons utaiona ina kila kipaji lakini still imeshindwa hata kufika Nusu Fainali ya CL huku ikitolewa na Man U iliyokuwa ikisuasua.
Ukiiangalia Man City tuliyoitoa sisi kwa kuifunga Nje ndani ilitimia kila pahala lakini still ilishindwa kuitoa Liverpool ya beki Lovren na Mido Hendo na Milner.
Kwahiyo Kubeba CL ni kipaji na asili maalum na kupania ubebe.
Pep hawezi kubeba CL na City
Kwaio inamaanisha city uefa ni kama liverpool epl??
Chelsea watu walidhan hvyo pia.
Kombe halinaga mwenyewe.
Epl watu walizan hvyo kwa city pia.
Kama city alivyochukua epl kwa kwa mara ya kwanza ndo itakavyokuwa kwenye UCL.
Nimecheka sanaChelsea alivyobeba CL ni sawa na Leicester City alivyobeba EPL.
Walibahatika kuwa katika hiyo misimu husika Timu zote hazikuwa vizuri kuweza kupambania hayo Makombe.
Na Ndiyomana baada ya kubeba tu (Chelsea & Leicester) wakaishia kupotea katika hiyo makombe.
Sasa na City labda avizie msimu ambao timu kama Bayern, Liverpool, Barcelona na Madrid hazipo vizuri zote 4 ndiyo anaweza kupambana yeye, Juve na PSG mmoja wapo kuweza kubeba CL.