Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
ile penati ya Gini ilikua predictable kabisaaaaa...
now Norwich Ijumaa tujipange
Yaani kama wao ambavyo wangemlaumu Sterling..MM NAMLAUMU SALAH MOJA KWA MOJA..GEMU ILIKUWA TUNAIMALIZA NDANI YA DK 90..SIJUI LINI HUYU MWARABU ATAACHA UBINAFSI NA KUACHA UJINGA AMBAO KARIBIA MABEKI WOTE WAMESHAMJULIA...SHENZY KABISA.
#IMISSUSADIOMANE#
Well said aise salah kaplay vzr sema bahat. Ila hernderson anazngua sana na zile substitutions ndo zilileta uhai mkubwaUkweli usiofichika Salah Leo alikuwa ndiye our best player inside the pitch...
Ndiye mchezaji pekee aliyefanya mashambulizi kwenye lango la Man City Ila hakubahatika kufunga tu.
Walker ndo kaonesha beki nini anatakiwa afanye.Kiukweli mumejitahidi sana leo hasa katka kipindi cha pili mimi nafikiri WALKER ndiye aliyeamua mechi ya leo,Salah hakuwa na bahati kabisa ila amefanya kazi nzuri sanaaaaaaaaa
....isipokuwa alisahau nyumbani shooting boots zake.Ukweli usiofichika Salah Leo alikuwa ndiye our best player inside the pitch...
Ndiye mchezaji pekee aliyefanya mashambulizi kwenye lango la Man City Ila hakubahatika kufunga tu.
Mkuu hili ni kombe la mbuzi, sisi Liverpool hatuna mpango nalo..hehehe Klopp ana siku kadhaaa za kusajili maana leo kama vileee hatupoooo....
Mkuu hili ni kombe la mbuzi, sisi Liverpool hatuna mpango nalo..
Walker ndo kaonesha beki nini anatakiwa afanye.
kabisa Salah was the best attacking player upande wetu, kagonga mwamba mara mbili...Kiukweli mumejitahidi sana leo hasa katka kipindi cha pili mimi nafikiri WALKER ndiye aliyeamua mechi ya leo,Salah hakuwa na bahati kabisa ila amefanya kazi nzuri sanaaaaaaaaa
Hofu yako ni watu walio prone to injury mkuu,lakini tumeona kipindi cha pili yulivyobadilika,nilifurahi sana kwa Keita na Lallana pamoja na OXTimu imenipa matuamini
hahaha hakuna cha mbuzi wala kondoo...Mkuu hili ni kombe la mbuzi, sisi Liverpool hatuna mpango nalo..
Kazingua big time aisee ametunyima ushindiSalah kanikera sana huyu fala
Aligeuka sara
Ndo maana klopp hakumchezesha ile gemu ya barca maana game ngumu hazihitaji warembo warembo kama yeye