Mkuu angalia midfielder wetu wanavyocheza inaogopesha game kama hizi kama huna playmaker kwenye kiungo mtabakia kulaumiana tu Henderson sijui Wijnaldumhehehe Klopp ana siku kadhaaa za kusajili maana leo kama vileee hatupoooo....
Pep ame target fullbacks wetu na kwa kiasi kikubwa amefanikiwa kui stifle creative outlet yetu.
Hendo = UCL triumph hangover (very poor)
TAA = UCL triumph hangover (poor)
Gini = poor
Kwani Allison Becker hayupo golini mkuu?Zile cleansheat za msimu uliopita season hii tutazisikia kwenye bbomba tu
Man cityUtabiri wangu msimamo wa msimu huu 2019/20
1) Man City
2) Liverpool
3) Man United
4) Arsenal
5) Spurs
6) Chelsea
Man city
Spurs
Man Utd
Chelsea
Liverpool
Arsenal.
Hao wa 6 hata wamsajili rais wa FIFA usitegemee watapata mabadiliko yoyote. Halafu wewe hujasajili unajiweka nafasi ya juu ya Man Utd. Acha unazi bwa mdogo.
ukweli ni kwamba kipindi cha kwanza Manciti were the better team...Mkuu angalia midfielder wetu wanavyocheza inaogopesha game kama hizi kama huna playmaker kwenye kiungo mtabakia kulaumiana tu Henderson sijui Wijnaldum
Whatever the case huwezi shika nafasi tatu za juu. Natabiri msimu huu ubingwa ni kati ya Spurs au Man City.Ukimaliza juu ya Liverpool naideactivate account yangu ya JF
Safiiiiiiiiii sanaWayaaaaaaaaaa