Kipigo cha napoli hamkisemei [emoji23]
dah Sema nini mane akuwepo labda tungeshinda..Ww kipigo cha bournemouth ulikisemea wap ili na sisi tukasemee huko
Matumizi ya wachezaji aina moja mechi zte ndo madala yake msimu ukiisha wanachoka.kuna tofauti kubwa ya walimu wa mpira na wasimamizi wamazoezi msimu huu ndo tutajua tuna mtu wa aina ganiTumekuwa Wa pili kwenye league tumepata hela za kutosha,tumechukua uefa cup tumepata hela za kutosha- tumemuuza ings tumepata kama 22.5M.
Sasa klop hizi hela zote anataka awachie matajiri Wa club ili iweje??? Badala ya kutumia kuimarisha team ili kuongeza pesa zaidi msimu huu.
Haya Mambo ya kutumia watoto kama back-up yalimshinda Wenger.Sasa hivi viungo Wa kuaminika pale ni moja tu fabinho,keita& lallana wote wazee Wa injuries Ox ni kama gomes watoka kuumia kuwategemea kukupa matunda kama mwanzo ni walakini.
Henderson ndio huyo hawezi kuwa perfect kila mechi kuna baadhi ya Siku na mechi ndio anakuwa anafanya vizuri-katika mechi 5 atafanya vizuri mechi 1,milner ndio Huyo uzee kukimbizana na watoto ataweza?? Kwanza kwa umri wake huwezi mtegemea kama mchezaji Wa kuanza
Mechi 5 za kwanza tutakuwa out of Big 4,
hila kww thread za wengine sio pre season??Hii ni pre season
Hata u'serious' huwa kama haupo
Hamuwezi kuwa sawa na sisi. Sisi tumesajiri Kovacic naona nyie mmekomaa na tuserengeti boys tuje kufanya kazi za wakubwa.Katika Kumbukumbu za miaka 10 iliyopita tunapotokea Nafasi ya Pili basi msimu ujao tunakuwa Nje ya Top 4.
Sasa last season tulikuwa wa 2, Sijui season hii itakuaje!!!!
Tumeshapita Madirisha Mawili (January na June - July) bila ya Kusajili.
Tupo sawa na Chelsea aliyepigwa Ban kusajili kwa madirisha mawili.
Bill gani kwamba hela ambayo nina uhakika tumetengeneza mwaka huu ni zaidi ya £450 millionHuyu ndie Klopp mpaka hapa kashajiwekea kinga endapo msimu utakwenda ndivyo sivyo...
ishu ni kwamba pamoja na kupata pesa nyingi hana bashishi ya kununua mbali analipa mishahara tu...
ndugu zangu naonavyo mimi ili tutoboe vipoa msimu huu 2019-2020 ni hawa mastaa wetu wasipate majeraha kabisaaa na pia wapinzani wapoteana viwango viwe chini au level moja..
Sijui Klopp anatuzuga ama hivi bila beki wa ziada kulia na kushoto tutapambana aje maana hawa kids sio EPL proven..kati pale tuna mapancha ya kutosha Lallana, Ox, Keita, Hendo..angalau Gini, Shaqir, babu Milie, Fabi sio pancha...nwei dirisha linafungwo hivi karibuni itajulikana sooon...
maneno ya kocha kuhusu usajili
Jurgen Klopp says Liverpool do not live in a "fantasia land" like Manchester City where they can spend big-money every summer, insisting he is "not at all jealous" of their rivals' financial muscle
In contrast, Klopp has ruled out marquee signings this summer and opted to invest in youth, bringing in winger Harvey Elliott, 16, from Fulham as well as centre-back Sepp van den Berg, 17, from Dutch side PEC Zwolle.
We have to pay bills. Sorry. Everybody has to pay bills; we have to pay bills. We invested money in this team. Now it looks like we are not. But we are not in this fantasia land where you just get whatever you want.
"You cannot do it constantly. It looks like there are four clubs in the world who can do it constantly. Madrid, Barcelona, (Man) City and PSG. Whatever they need, they do. You cannot compare that. That is the situation.
"It is not a criticism. I know how people will take it, that I am jealous or whatever. I am not at all jealous. There is no guarantee we won't draw with Leicester on a snowy pitch because we make five new signings.
He added: "This year is not the end of Liverpool FC. Next year there will be another transfer window. This team is really good and we have invested a lot in it. Now we have to work with that.
yajayo yanafurahisha...
Kwa kweli binafsi siitabirii club yangu ya EPL kuchukua titleDah usajili wa hawa watoto wa day care kweli utatupa EPL kweli?
Klop amefanya mpk chelsea fan boys wameanza kurud kwenye huu uzi wkt walishakimbiaga kitambo sanaaaHamuwezi kuwa sawa na sisi. Sisi tumesajiri Kovacic naona nyie mmekomaa na tuserengeti boys tuje kufanya kazi za wakubwa.
Msimu unaanza soon mtalamba lolo.
Kipindi cha pre season hiki kila mtu anadeal na mambo ya timu yake. Mbona hata nyie kule mlikimbia naona mnaanza kurudi mmoja mmoja. Kuna wengine bado hawajarudi mpaka ligi zianze.Klop amefanya mpk chelsea fan boys wameanza kurud kwenye huu uzi wkt walishakimbiaga kitambo sanaaa
Tar 14 August nitaweka kambi ya wiki nzima kule mjiandae kisaikolojia tu hapata kalika.Kipindi cha pre season hiki kila mtu anadeal na mambo ya timu yake. Mbona hata nyie kule mlikimbia naona mnaanza kurudi mmoja mmoja. Kuna wengine bado hawajarudi mpaka ligi zianze.
Usidhani sisi ndio tunakuja huku pekee hata nyie mnashobo sana kwetu.
Hahahaaaa umenifurahisha maana naona Ollachuga na genge lake hawakauki humu....Klop amefanya mpk chelsea fan boys wameanza kurud kwenye huu uzi wkt walishakimbiaga kitambo sanaaa
Hatujawah kukimbia uzi wenu maana hamkua na chochote cha kutufanya LFC fan tukimbie labd kma unazungumzia washabik wa Arsenal na ManyumbuKipindi cha pre season hiki kila mtu anadeal na mambo ya timu yake. Mbona hata nyie kule mlikimbia naona mnaanza kurudi mmoja mmoja. Kuna wengine bado hawajarudi mpaka ligi zianze.
Usidhani sisi ndio tunakuja huku pekee hata nyie mnashobo sana kwetu.
Sisi tunafuatilia sana wewe. Kuna wakati mnakauka. Kuna kipindi mimi hata kwangu mwnyewe nilipotea.Hatujawah kukimbia uzi wenu maana hamkua na chochote cha kutufanya LFC fan tukimbie labd kma unazungumzia washabik wa Arsenal na Manyumbu