Hivi wakati Klopp anamuita TAA kikosi cha wakubwa ni nani aliyetegemea TAA angefanya maajabu kama tunayoyashuhudia sasa? Klopp alipomnunua Robertson tulijua anatuletea mzigo tu lakini shughuli ya Robertson tunaiona sote ni mashahidi.. Hivi karibu kamnunua Van Den Berg nani anaujua uwezo wa huyu dogo?
Wakati Klopp akiwa Dortmund alitumia kiasi cha paund 22.37 million kununua wachezaji watano wa kiwango cha juu kabisa.
1. Shinji Kagawa bure
2. Piszeck bure
3. Lewandowsk paund 3.33 m
4. Aubameyang paund 9.1 m
5. Subotic 3.15 paund m
Kwa hiyo suala la kusema Klopp hasajili tuliache yeye anajua kuliko hata sisi tunaompigia kelele.
_Jumapili njema Kops [emoji112]_
Hizo hizo PSG, Man City, Barcelona, Porto na Zote kazipiga msimu huu.Hata babu Wenger naye alikuwa bingwa wa kukuza vipaji soka limebadilika angalia anashindana na timu gani kwenye ubingwa
Usitumie nguvu kubwa mkuu... mtu aliyeamua usiku kua mchana ni ngumu kuamua kujadili kitu.Hivi wakati Klopp anamuita TAA kikosi cha wakubwa ni nani aliyetegemea TAA angefanya maajabu kama tunayoyashuhudia sasa? Klopp alipomnunua Robertson tulijua anatuletea mzigo tu lakini shughuli ya Robertson tunaiona sote ni mashahidi.. Hivi karibu kamnunua Van Den Berg nani anaujua uwezo wa huyu dogo?
Wakati Klopp akiwa Dortmund alitumia kiasi cha paund 22.37 million kununua wachezaji watano wa kiwango cha juu kabisa.
1. Shinji Kagawa bure
2. Piszeck bure
3. Lewandowsk paund 3.33 m
4. Aubameyang paund 9.1 m
5. Subotic 3.15 paund m
Kwa hiyo suala la kusema Klopp hasajili tuliache yeye anajua kuliko hata sisi tunaompigia kelele.
_Jumapili njema Kops [emoji112]_
Hivi wakati Klopp anamuita TAA kikosi cha wakubwa ni nani aliyetegemea TAA angefanya maajabu kama tunayoyashuhudia sasa? Klopp alipomnunua Robertson tulijua anatuletea mzigo tu lakini shughuli ya Robertson tunaiona sote ni mashahidi.. Hivi karibu kamnunua Van Den Berg nani anaujua uwezo wa huyu dogo?
Wakati Klopp akiwa Dortmund alitumia kiasi cha paund 22.37 million kununua wachezaji watano wa kiwango cha juu kabisa.
1. Shinji Kagawa bure
2. Piszeck bure
3. Lewandowsk paund 3.33 m
4. Aubameyang paund 9.1 m
5. Subotic 3.15 paund m
Kwa hiyo suala la kusema Klopp hasajili tuliache yeye anajua kuliko hata sisi tunaompigia kelele.
_Jumapili njema Kops [emoji112]_
Hivi mnamkumbuka Lallana wa 2014? Huyu jamaa fundi sana, kinachomtesa ni majeruhi tu. Klopp anajua TAA asipokuwepo Gomez atacover. Mimi wasi wasi wangu ni LB tu na namba 9/10 hii mojawapo haina mtu. Akipatikana 9 Firmino atacheza 10 and vice versa.Nadhani bado hujajuwa nini kinajadiliwa kuhusu Usajili, Au hukukipitia ulichokiandika.
TAA na GOMEZ hawakuwa First choice takriban misimu miwili ya mwanzo.
Na kilichofanya TAA akaingia First XI ni kuumia kwa Clyne jambo ambalo hatukuwa na RB mwengine kiasi ya kwamba mpaka leo tuna RB mmoja tu ambaye ni TAA pekee.
Kuhusu Robertson ulichokisema sio kweli kuwa tulikosoa au kuponda usajili wake kwani hakuna aliyekuwa akijua kuhusu usajili wa Mchezaji Huyo kwani kusajiliwa kwake ni sawa na Fabinho waliibuka tu from nowhere bila ya kiwepo tetesi za kuaminika kuhusu usajili wao.
Wengi wetu tulikuja kumuona tu Robertson akiwa uwanjani na tukamsifia sana kuhusu uchezaji wake.
"Kuna watu hutumia kivuli cha usajili wa Robertson kama kichaka kuhalalisha hoja zao eti tuliukosoa! Sio kweli hakuna aliyeukosoa"
Kwahiyo na hawa Madogo waliosajiliwa hakuna hata mmoja aliyeponda usajili wao! Sote tunajua kuwa Elliot, Ki-jana na Berg ni talented Young boys, na tunaamini kuwa ni Future nzuri! Lakini Nina uhakika kuwa Mutakuja kusema tulimlaumu Klopp kwa kuwasajili hawa. I swear!
Kama hamujui tunachokosoa sisi ni kutosajili Backups za baadhi ya wachezaji ambao hutumika muda Mkubwa bila ya kupumzishwa kwani hawana mbadala jambo ambalo wakiumia tu au wakichoka kipindi cha January huwa timu inaboronga, na kutokuziba baadhi ya sehemu zenye weakness kama vile namba 10 ambayo mpaka sasa haina Mtu bali inaungwaungwa tu.
Timu ina namba 2 mmoja tu TAA
Timu ina namba 3 mmoja tu Robertson
Je wakiumia hao nafasi zao ataziba nani? Au ndiyo Hendo aje acheze namba 2 kama msimu uliopita?
Hivi Mane, Salah na Fiemino ndiyo waendelee kutumika kama Punda bila ya mtu wa kuziba nafasi zao?
Je mido ndiyo waendelee kucheza kina Milner?
Usidhani kama hawa waliosajiliwa wote msimu huu watacheza kikosi cha kwanza moja kwa moja! Ni wadogo mno Klopp hawezi kutake risk hata Siku moja.
Wote atawapeleka U23 wakakue.
Haya maneno ya mwacheni Klopp afanye anayoyataka yamekuja baada ya miuja ya Barcelona na Trophies ya UCL ni Klopp huyu huyu aliwaaminisha kwa Karius na Grujic baadae mkamgeuka na tunasema mapema tutakuja kuongea negative kabla ya January tuombe uzima.Hivi mnamkumbuka Lallana wa 2014? Huyu jamaa fundi sana, kinachomtesa ni majeruhi tu. Klopp anajua TAA asipokuwepo Gomez atacover. Mimi wasi wasi wangu ni LB tu na namba 9/10 hii mojawapo haina mtu. Akipatikana 9 Firmino atacheza 10 and vice versa.
Kuhusu wings za Mane na Salah sio lazima tucheze hivyo siku zote. Mfumo hubadilika kulingana na wachezaji waliopo. Mnakumbuka game ya pili ya Barca hatukuwa na Salah, je Klopp aling'ang'ana kutafuta wing ya kucover nafasi ya Salah?
Tunae Shaqiri, Origi wa kusaidia mashambulizi. Kinachotakiwa wapewe time ya kucheza wagain confidence. Lazima tujifunze kucheza bila Salah, au Mane au Firmino na timu ipate matokeo mazuri tu ndio kinachotakiwa.
Hebu mwacheni Klopp afanye anayoyataka.
Unaamini katika miujiza ya mpira? We played football...barca walizembea tukawafunga.Haya maneno ya mwacheni Klopp afanye anayoyataka yamekuja baada ya miuja ya Barcelona na Trophies ya UCL ni Klopp huyu huyu aliwaaminisha kwa Karius na Grujic baadae mkamgeuka na tunasema mapema tutakuja kuongea negative kabla ya January tuombe uzima.
Mkuu King Ngwaba mara nyingi umekua ukipinga falsafa za klop. Ila mi naona tumuamini kocha na bench lake maana upande wa TAA kuna gomez pia lauroce anaweza kuwa backup nzuri ya robertson hasa ukizingatia klop anajua kuwatia moyo vijana
Bado tuna vijana kama brewster, kent, wilson naona wanaweza kuleta ushindani
Hivi mnamkumbuka Lallana wa 2014? Huyu jamaa fundi sana, kinachomtesa ni majeruhi tu. Klopp anajua TAA asipokuwepo Gomez atacover. Mimi wasi wasi wangu ni LB tu na namba 9/10 hii mojawapo haina mtu. Akipatikana 9 Firmino atacheza 10 and vice versa.