Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
I feel so sorry for a boy...very bad lucky to him..i can see the season is over to him
Liverpool defender Nathaniel Clyne will be out for six months after suffering a cruciate ligament injury.Wachezaji hawa ndiyo tuliyoambiwa Kikosi kipana (Depth) na New signing.
Clyne tayari......
Gomez loading......
Lallana loading.......
Matip loading........
OX loading.........
Nakumbusha tu kuwa Beki mbili tunaye TAA pekee
Beki tatu tunaye Robertson pekee
Tutarajie tena beki mbili kuja kucheza Hendo.
Beki tatu kuja kucheza Milner
Beki ya kati kuja kucheza Fabinho.
Wacha tusisajili tuendelee kujiamini na Miguu ya plastic ya kina OX
Nimeishia hapa kusoma. Nitarudi siku nyingine kuendelea nilipoishia.Chini ya Lampard tuna uwakika wa kuzuia point sio chini ya kumi na mbili kwenye top six uku tukianza na Liverpool.
Kwa historia?Sasa unabisha mkuu.! Liverpool ya msimu huu mpya itakuwa ya kawaida sana.
Mimi ninasubiriWachezaji hawa ndiyo tuliyoambiwa Kikosi kipana (Depth) na New signing.
Clyne tayari......
Gomez loading......
Lallana loading.......
Matip loading........
OX loading.........
Nakumbusha tu kuwa Beki mbili tunaye TAA pekee
Beki tatu tunaye Robertson pekee
Tutarajie tena beki mbili kuja kucheza Hendo.
Beki tatu kuja kucheza Milner
Beki ya kati kuja kucheza Fabinho.
Wacha tusisajili tuendelee kujiamini na Miguu ya plastic ya kina OX
Karib sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeishia hapa kusoma. Nitarudi siku nyingine kuendelea nilipoishia.
Timu nyingi zitaikamia Liverpool zile point za mdebwedo hazipo tena, na hizi injary za key players wenu ndo balaa zaidi. Majanga yanakuja..nani wa kuzuia?? Klopp!!Kwa historia?
Injuries?
Kikosi kimebadilishwa?
Kocha amefukuzwa?
Umetumia nini kusema itakua ya kawaida?
Supercup na Community shield andika maumivu mkuu. Kwa sasa hauna kikosi cha kuchukua point kwa Man city au Chelsea na hata Arsenal atakusumbua sana.Subiri Super Cup tumuone huyo Lampard wenu
Supercup na Community shield andika maumivu mkuu. Kwa sasa hauna kikosi cha kuchukua point kwa Man city au Chelsea na hata Arsenal atakusumbua sana.
Hapo kwa nafasi ya 6 na penyewe umempaisha tu ni sawa na kumpa mgonjwa uji wa matumaini anywe apate nguvu, Chelsea uwezo wake EPL msimu huu 2019/2020 ni nafasi kuanzia 10 kushuka chini, kamwe Chelsea hii ya lampard hawawezi kuwa juu ya Everton, Leicester, Bournemouth, Southampton, Wolverhampton n.k, labda waahamie ligi ya Belgium au Sweden ndo wanaweza kushika nafasi za juuChelsea msimu huu nafasi yenu ni ya 6 kama huamini save hii post kwa ajili ya kumbukumbu
you can't win silverware with kids.Mtu ambaye nimemkubali ana uwezo wa kuchezesha chipukizi alafu wakadeliver kwa epl ni Poch. Klop anafanya kazi nzuri ila Poch ni genius. So msiwategemee sana watoto hawa na pia msisahau kila timu itawapania na hilo huwa linapelekea droo kuwa nyingi.
Msimu huu mm nawaona kwenye nafasi ya tatu.
Ila huyu BRUNO FERNANDEZ kajua kutuonyesha umuhimu wake kiukwel nimcheji mzuri.....mtazame
.anavyoshambulia,
anavyokula,
anavyotuliza team,
anyochezesha team
ajabu bei yake nidogo kwa soko la sasa £60
goal 1
assist1
mwamba1
Kablock goal letu .
Hatari sana huyu jamaaIla huyu BRUNO FERNANDEZ kajua kutuonyesha umuhimu wake kiukwel nimcheji mzuri.....mtazame
.anavyoshambulia,
anavyokula,
anavyotuliza team,
anyochezesha team
ajabu bei yake nidogo kwa soko la sasa £60
goal 1
assist1
mwamba1
Kablock goal letu .
Kwakweli Klopp asipomuuza huyu atakuwa Katudhulumu kwa kiasi kikubwa sana sisi Wanafamilia wa Liverpool