Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

jamaa humu washasahau allison alisainiwa kipindi gani?Ilikuwa baada ya pre season mechi mbili tatu hivi...sababu nataka kuwa access waliopo kwanza kabla ya kuamua kuwauza au mikopo tena?ypu give them second chances...sisi siyo city au chelsea wanasajili surplus to requirement afu hawatumiki msimu mzima.
 
Waingereza mashabiki wa Liverpool sio wa kuwatumainia

Hii page ambayo wamejidai ni mashabiki/wapenzi wa Henderson ina followers elfu sitini , wanawapost wachezaji wa LFC ambao ni Waingereza tu(Lallana,Ox,Trent etc)

 

If you can escape rush hours it is way better to do that.

Usually players' prices sky rockets, and it is usually so tough to get the no one choices.

And is usually cool new joiner to get used to his teammates off and on field before it gets busy
 

If we had decided to buy him earlier, his price would have been below what we paid.

There is always relief in making deals very earlier.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…