Taarifa ni kwamba Ox,Gomez, Lallana watakua kama usajili mpya kwa vile wanaanza pre season wakiwa wazima hivyo sasa Klopp kusajili tutegemee 50/50...
Hii Liverpool yenu King Lampard ataiprove wrong..Iwapo tutakuwa na kikosi hichi labda ziungane Timu 3 ndiyo ziweze kutufunga
Allison leo amedhibitisha bila VVD pale nyuma atakuwa na khali mbaya sana. Ni Average kipa!
Allison leo amedhibitisha bila VVD pale nyuma atakuwa na khali mbaya sana. Ni Average kipa!
Tena la penalty, goli la penaltyKwani Timu ya Taifa ya Brazil kuna VVD? Coz kafungwa goli 1 tu kwenye Michuano ya toka Makundi mpaka Fainali.
Tunarudi kulekule kwa akina Solanke tena
Yani kwa ufupi ubora wa mabeki ndo unambeba Allison. Ubora wa Kipa ni pale time inapokuwa na ubovu wa mabeki, refer Kepa..Kwani Timu ya Taifa ya Brazil kuna VVD? Coz kafungwa goli 1 tu kwenye Michuano ya toka Makundi mpaka Fainali.
Alisson anaongoza kwa clean sheetsYani kwa ufupi ubora wa mabeki ndo unambeba Allison. Ubora wa Kipa ni pale time inapokuwa na ubovu wa mabeki, refer Kepa..
Kwangu mimi ni bonge la mchezaji ila majeruhi ndo tatizo kwa hii tusitegemee kitu kwa Keita piaYani huwa nikiona ji a la lallana huwa napata mafua kabisa
Pia clyne karudi
Allison leo amedhibitisha bila VVD pale nyuma atakuwa na khali mbaya sana. Ni Average kipa!
Itatucost I think tunatakiwa kusajili ili kujiweka katika ushindani
Man City benchi lao kwa Forwards wapo Jesus, Sane na Mahrez
Middle hasa DM wana watu kama matatu au wanne kabisa(Fernandinho, Rodri, Zinchenko na Fabian Delph) non-DM wapo wanne (DeBruyne, David Silva, Gundogan,Foden) Beki pia wako wa kutosha tu
Sasa huku akiumia Fabinho DM majanga, akiumia VVD CB majanga
kabisa itatucost sana tu...kwa sasa ni kusubiri tu...kama Klopp hatasajili kutegemea long term absentee Ox, Gomez, Lallana ndio watakua fit msimu ujao basi hapo tutegemee maumivu kwani hao pamoja ni ngumu kucheza gemu 10 bila kua pancha...