Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_5754.JPG
 
Na inapocheza Senegal nakuomba umuangalie Sadio Mane ikisha uje useme hapa kuwa hafai hata kuokota mipira kwa Liverpool anazidiwa Mara 100000000 na Lallana.
Kwani wachezaji wa Timu nzima ya Senegal wanaperform vizuri kuliko yeye.

Nadhani utakuwa ndiyo Mara yako ya kwanza kufatilia AFCON coz asilimia kubwa ya wachezaji wanaocheza Ulaya huwa wanakuwaa Underperforming wanapocheza Timu zao za Taifa za Kiafrika kutokana na ubabaishaji wa kutokuwa na posho kama za Vilabu vyao, Kuhofia injury, na kukosa uzalendo wa uhakika.
hata Messi the great wa Agentina ni tofauti kabisa na Messi wa Barcelona.
 
Well said Barnes

Our rivals wanaspend sana dirisha hili huko

Sasa inatakiwa na sisi tufanye usajili wa kuimprove Squad yetu

Kama Atletico wameweka £113 million mezani kwa ajili ya 19 year old sisi inatakiwa tufanye zaidi katika dirisha hili
Tajiri ashasema anataka kumuona lalana mzima. Ox mzima...na origi jext year. So watu watakuja nikujazia nyama tu. Lakini sio wa first 11
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom