IMG_5749.JPG
 
Hivi huyu pepe ninayemuona hapa vs morocco mdio mnataka aje liver??? Plzzz hafai hata robo...origi anamzidi mara elfu
Mkuu ndio maana ninasemaga hiki kipind mawakala na watu wa media wanatengeneza Sana pesa,wanaweza mpamba mchezaji au kutengeneza bei ya mchezaji Hadi mkachanganyikiwa....
 
Na inapocheza Senegal nakuomba umuangalie Sadio Mane ikisha uje useme hapa kuwa hafai hata kuokota mipira kwa Liverpool anazidiwa Mara 100000000 na Lallana.
Kwani wachezaji wa Timu nzima ya Senegal wanaperform vizuri kuliko yeye.

Nadhani utakuwa ndiyo Mara yako ya kwanza kufatilia AFCON coz asilimia kubwa ya wachezaji wanaocheza Ulaya huwa wanakuwaa Underperforming wanapocheza Timu zao za Taifa za Kiafrika kutokana na ubabaishaji wa kutokuwa na posho kama za Vilabu vyao, Kuhofia injury, na kukosa uzalendo wa uhakika.
 
Uzuri wa Pepe unaonekana kwenye Club Yake na si Timu ya Taifa.

Hata kina Drogba, Kalou, Yaya Toure, Kolo Toure, Eboue, Zakora na wakali wengine hawakuwahi hata kushinda kikombe cha kawa wakiwa Ivory Coast kwani walikuwa wakicheza kama Fei Toto.

Wachezaji wa Kiafrika hawana uzalendo na Timu zao za Taifa.

Hakuna usahihi kumpima Pepe kupitia Cote D'Vour
 
Huyu nahisi Career yake is over

Ni injury prone jambo ambalo litammaliza kama Lallana.

Na ndiyo napata ukakasi kuwa ni ipi real reason ya kusitishwa usajili wa Fekir????

Kama sababu ni kweli Knee injury kwanini tulimsajili Keita wakati anarekodi mbovu za injury kuliko huyu Fekir?

Sawa Fekir aliumia goti! Lakini sio injury prone kama Keita. Then tunaambiwa kaachwa Fekir kwasababu ya injury...

Nahisi reason kubwa ya Kuachwa Fekir ni usajili wa Alisson na si vyenginevyo.
 
Nakumbusha tu:

Mpaka sasahivi hatusajili mchezaji hata Mmoja wa kuongeza Depth (Neither Regular starter nor Squad player).

Yule dogo aliyesajiliwa ni Sawa na Ki-jana tu atapelekwa U23 au atakuwa loaned out.

Bila ya kuongeza wachezaji (Depth) basi tusahau kushindana na Man City.
 
Na inapocheza Senegal nakuomba umuangalie Sadio Mane ikisha uje useme hapa kuwa hafai hata kuokota mipira kwa Liverpool anazidiwa Mara 100000000 na Lallana.
Kwani wachezaji wa Timu nzima ya Senegal wanaperform vizuri kuliko yeye.

Nadhani utakuwa ndiyo Mara yako ya kwanza kufatilia AFCON coz asilimia kubwa ya wachezaji wanaocheza Ulaya huwa wanakuwaa Underperforming wanapocheza Timu zao za Taifa za Kiafrika kutokana na ubabaishaji wa kutokuwa na posho kama za Vilabu vyao, Kuhofia injury, na kukosa uzalendo wa uhakika.
Upo sahihi kabisa.
 
Mkuu ndio maana ninasemaga hiki kipind mawakala na watu wa media wanatengeneza Sana pesa,wanaweza mpamba mchezaji au kutengeneza bei ya mchezaji Hadi mkachanganyikiwa....
Hata liver wamesema.kuwa ni media wa agent wake wanataka wampaishe ili wapate mpunga mrefu sasa waliona wakisema liver ndo inamtaka basi club nyingine zitamkimbilia. Ila liver hawana time nae
 
Nakumbusha tu:

Mpaka sasahivi hatusajili mchezaji hata Mmoja wa kuongeza Depth (Neither Regular starter nor Squad player).

Yule dogo aliyesajiliwa ni Sawa na Ki-jana tu atapelekwa U23 au atakuwa loaned out.

Bila ya kuongoza wachezaji (Depth) basi tusahau kushindana na Man City.
Yule dogo wamesema haendi u23. Nina uhakika lovren anasepa. So mara moja moja dogo atapata game time
 
Kuumia kwa keita kwang mimi naona nihabari njema kwetu

Nimda sasa wakuwa serious na usajil wa Bruno Fernandez ....kikosi chetu bado nikichanga mno
 
Yule dogo wamesema haendi u23. Nina uhakika lovren anasepa. So mara moja moja dogo atapata game time
Kama ni Player for the future sawa ....,tunahitaji Qualify players for right now tunahitaji kuongoza Qualify footballer tuachane na hizi Cheap option
 
Back
Top Bottom