Pale mbele akiwepo,mane mbape na salah itakua ni shida kabisaHuo NI ukweli ni mchezaji ghali kwenye dunia ya Leo ila niamini mkuu kuwa na mbape (Kama itawezekana)..NI ubingwa tosha...kwa timu ilivyo now ukiingeza mtu dizaini ya mbape aisee ntaweka nyumba uweke jiwe tunachukua ubingwa na makombe zaidi ya moja.
£250m and £400K per week just for Mbappe? Big No
Lovren is shit. Jamaa wanampamba utadhani mtu wa maanalol the same Lovren au mwingine...
Huyu jamaa JK amrudishe kikosini namkubali sana
unTaka mpape aonyeshe kiwango gani boss?Tuachane nao hao wachezaji wakutaka mishahara mikubwa halafu uwanjani wavivu kukaba timu ikishambuliwa anasimama mbele tu.
Kumlipa mshahara mkubwa kabla ya kuonesha kiwango hapo ni kutake risk. Unamlipa huo mshahara anakuja kuwa flop hasara kwetu.
Kwa mtazamo wangu huyo mchezaji hatufai kabisa hapo,me sipendi hao wachezaji wenye majina waje hapo.
Kama wanataka hela waende barca au Madrid huko, wakauze na jezi.
unTaka mpape aonyeshe kiwango gani boss?
hahaha like serious ndugu uweke nyumba hivi hivi lol...ishu ni kwamba PSG hawana mpango wa kumuuza labda ndogo aamue mwenyewe anataka kusepa basi watafanya biashara...Huo NI ukweli ni mchezaji ghali kwenye dunia ya Leo ila niamini mkuu kuwa na mbape (Kama itawezekana)..NI ubingwa tosha...kwa timu ilivyo now ukiingeza mtu dizaini ya mbape aisee ntaweka nyumba uweke jiwe tunachukua ubingwa na makombe zaidi ya moja.