Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
kumbe wenye mashaka kuhusu Levron (na kuangalia kwa jicho la tatu) tupo wengi bana!View attachment 1127265
i love being a controversial character kwa kuchokonoa vitu unpopular but important in equal measure.
leo nakuja na Lovren... hahahaa!
kwenye hiyo poll hapo juu mimi niko hapo kwa 29%.
why? scroll down....
Levron may not be a Rollsroyce type of a defender. he's probably not a cup of tea for many (71%). however, for a back up role and squad depth he is still more decent (experience-wise) than most of those we could think of recruiting.
labda kama tutamuuza for at least 50M ili tupate a better (marquee-type) replacement, but for 25M? hell NO!
at that sort of price you can only land a prospect but as an EPL championship-aspiring outfit, LFC needs to invest more on finished articles than prospects.
tukumbuke pia kuwa for a set of CB's tulio nao sasa ambapo ukimwondoa VVD, wengine wote fitness levels zao zinatia shaka (sidhani kama kuna anyone of them anaweza ku feature kwenye even 50% of the games katika msimu bila ya kulazwa kwenye treatment table).
my opinion: kama kweli tutaamua kumuuza Lovren then we MUST have an upgrade to the level of de Lijt as replacement!
King Ngwaba etal - povu ruksa.... hahahaaa!
Hata mm siungi mkono kuuzwa kwa huyu jamaa achana na swala la Bei ndogo ila angebaki msimu huu Tena ili tujaribu kugombea vikombe viwili vitatu tukiwa na kikosi kipana..kweli Ana matatizo yake lkn kwa historia ya pancha za mabeki wetu na hata Kama tukipata beki mpya Kuna kuwaga na kale kaugonjwa ka kuzoea mazingira na style yetu...An la mwisho kiukweli 25m bado hatujamtendea haki lovren.kumbe wenye mashaka kuhusu Levron (na kuangalia kwa jicho la tatu) tupo wengi bana!
read this.....
View attachment 1127547
hapa swali ni je kuuza na kupata mbadala bora na sahihi au kuuza na kutonunua beki...ishu na huyu ni pancha pia..Hata mm siungi mkono kuuzwa kwa huyu jamaa achana na swala la Bei ndogo ila angebaki msimu huu Tena ili tujaribu kugombea vikombe viwili vitatu tukiwa na kikosi kipana..kweli Ana matatizo yake lkn kwa historia ya pancha za mabeki wetu na hata Kama tukipata beki mpya Kuna kuwaga na kale kaugonjwa ka kuzoea mazingira na style yetu...An la mwisho kiukweli 25m bado hatujamtendea haki lovren.
Turudie mfano tulipomtoa clyne kwa mkopo halafu Trent akaumia....so si ajabu kuona tukiuza na tusinunue yyt tukiamini waliopo wanatosha maana kwa hiyo pesa tunayouza itabidi tuongeze pesa kupata beki yyt mzur wa Kati na soko kipind hiki unaona lilivyo....anyways let's hope for the best mkuu CAPT.nia yetu wote Ni kujengahapa swali ni je kuuza na kupata mbadala bora na sahihi au kuuza na kutonunua beki...ishu na huyu ni pancha pia..
auzwe tununue kisiki sahihi.
nakubaliana na wewe.hapa swali ni je kuuza na kupata mbadala bora na sahihi au kuuza na kutonunua beki...ishu na huyu ni pancha pia..
auzwe tununue kisiki sahihi.
kama Lovren atauzwa ni LAZIMA tununue mbadala ambaye ni kisiki zaidi yake. tusibahatishe.Turudie mfano tulipomtoa clyne kwa mkopo halafu Trent akaumia....so si ajabu kuona tukiuza na tusinunue yyt tukiamini waliopo wanatosha maana kwa hiyo pesa tunayouza itabidi tuongeze pesa kupata beki yyt mzur wa Kati na soko kipind hiki unaona lilivyo....anyways let's hope for the best mkuu CAPT.nia yetu wote Ni kujenga
upo sahihi tatizo la Lovren umri unamkamata n th.boy is not getting any better...Turudie mfano tulipomtoa clyne kwa mkopo halafu Trent akaumia....so si ajabu kuona tukiuza na tusinunue yyt tukiamini waliopo wanatosha maana kwa hiyo pesa tunayouza itabidi tuongeze pesa kupata beki yyt mzur wa Kati na soko kipind hiki unaona lilivyo....anyways let's hope for the best mkuu CAPT.nia yetu wote Ni kujenga
nakubaliana na wewe.
kama atauzwa ni LAZIMA tununue mbadala ambaye ni kisiki zaidi yake. tusibahatishe.
mission guy....under th sun with th right attitude,right environment, right pple around u, cool mind, eager to learn n improve etc then impossible becomes possible...
hahaha huyu Lallana jamani...kama timu ikipokea ofa sahihi wamwachia tu aodoke zake...
huyu kocha aache bwebwe au wacheza kamali watamtabiria ndio wa kwanza kufukuzwo kazi msimu ujao...
View attachment 1127265
i love being a controversial character kwa kuchokonoa vitu unpopular but important in equal measure.
leo nakuja na Lovren... hahahaa!
kwenye hiyo poll hapo juu mimi niko hapo kwa 29%.
why? scroll down....
Levron may not be a Rollsroyce type of a defender. he's probably not a cup of tea for many (71%). however, for a back up role and squad depth he is still more decent (experience-wise) than most of those we could think of recruiting.
labda kama tutamuuza for at least 50M ili tupate a better (marquee-type) replacement, but for 25M? hell NO!
at that sort of price you can only land a prospect but as an EPL championship-aspiring outfit, LFC needs to invest more on finished articles than prospects.
tukumbuke pia kuwa for a set of CB's tulio nao sasa ambapo ukimwondoa VVD, wengine wote fitness levels zao zinatia shaka (sidhani kama kuna anyone of them anaweza ku feature kwenye even 50% of the games katika msimu bila ya kulazwa kwenye treatment table).
my opinion: kama kweli tutaamua kumuuza Lovren then we MUST have an upgrade to the level of de Lijt as replacement!
King Ngwaba etal - povu ruksa.... hahahaaa!
Dah
Huyu jamaa siku atayosema anaondoka nitajipongeza hata kwa maji ya dukani
huyu kocha aache bwebwe au wacheza kamali watamtabiria ndio wa kwanza kufukuzwo kazi msimu ujao...