OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Unajua Kwanni Klopp anamchezesha Mane halafu anamuacha Keita.?alikurupuka tu kuandika hiyo comment au anachuki binafsi na klopp mwambie matip na salah pia ni wazungu?huyu ollachuga sometimes dishi huwa linayumba!
Ni Vizuri akaondoka ili kupisha kizazi kingine. Sisi huwa tunatengeneza malegendary wanaobeba/waliobeba makombe..Real Madrid have agreed a deal in principle for Chelsea forward Eden Hazard worth £88m plus significant add-ons, Sky Sports News understands
LIVERPOOL WACHEZAJI KADHAA KUBADIRISHA NAMBA ZA JEZI WAVAAZO SASA MSIMU HUU 2019/20
>>Hii itaonekana kwenye siku ya Ijumaa ambapo Wachezaji hao watatambulisha Jezi Mpya za kufanyia Mazoezi(training Kit) na namba zao hizo Mpya.
Allison.
Hii ilisemwa Msimu uliopita kua Kipa huyu atabadirisha namba kutoka 13 kuja namba 1,hii bado kdg haijawa wazi kwa sasa.
Ox.
Ox yeye sasa atatoka kwenye jezi nambari 21 kuja valia jezi nambari 15 ambayo inaachwa Na Danny Sturridge baada ya kumaliza Mkataba wake.
Fabinho.
Mbrazil huyu atabadirisha nambari ya jezi yake kutoka nambari 3 kuja valia nambari 2 itakayoachwa na Nathaniel Clyne.
Andy Robertson.
Huyu atatoka kwenye nambari 26 anayovalia sasa Na kuvalia jezi itakayoachwa na Fabinho,jezi nambari 3.
>>Hayo ndio MABADILIKO KADHAA ya Jezi namba yatakayofanyika MSIMU huu.
Mwanangu we sio Namfua?[emoji23][emoji23]
Ni Vizuri akaondoka ili kupisha kizazi kingine. Sisi huwa tunatengeneza malegendary wanaobeba/waliobeba makombe..
Sisi sio Liverpool mkuu.
Uyu jamaa ataboronga Sana Afcon ..apo ndo utakapoonekana ubovu wake..
nachojua ni kwamba sababu ya kumwacha keita siyo ubaguzi kama unavyodai weweUnajua Kwanni Klopp anamchezesha Mane halafu anamuacha Keita.?
Mwanangu we sio Namfua?[emoji23][emoji23]
hahaha ni ngumu sana kuifananisha Liverpool na Chelsea ndugu na hujakosea kabisa nyie sio Liverpool...mkisogea angalau mpate UCL 4 ndio tutakua tunazungumza lugha moja...Ni Vizuri akaondoka ili kupisha kizazi kingine. Sisi huwa tunatengeneza malegendary wanaobeba/waliobeba makombe..
Sisi sio Liverpool mkuu.
Nimekuja kuhakikisha hili jukwaa kama lipo na halijafungwa, maana King Ngwaba anashinda jukwaa la Chelsea utadhani yeye timu yake haina jukwaa
Sasa mbona sijaona TRENT maana jezi namba 66 ni kubwa mno.
Yani huyo na hilo namba ndio alitakiwa kuwa wa kwanza kabisa kubadilishiwa namba,lakini mpaka sasa hakuna dalili zozote. Msimu ujao utakuta anabaki na linamba hilo hilo.
here comes another trophy4 August → Community shield
Man, what can i say about SADIO MANE?????
HE'S A WARRIOR
God knows, how much i like this Baller.
so proud, he's of our kind.
he was the stand-out, AS ALWAYS.
STOOD OUT IN KIEV, AND DID THE SAME THING IN MADRID.
WORLD CLASS BALLER.
DEFINITION OF A FIGHTER.
I JUST LOVE HIM.
whats more interesting there ws interest almost from Crystal Palace n other few teams in Jan...Klopp stood his ground n here we are wt our hero vs Barca n the final vs Spurs...Y'all remember when, ECHO told the world kuwa Solanke and Ings were better than ORIGI?
Man, am laughing so hard, right now.
i love Torres a lot, but think Origi legacy at LFC is bigger than ya Torres na Suarez, and i'm not even joking, we can discuss about this mpaka mwisho wa mwaka.
Torres and Suarez, delivered, but just Top 4s, and Suarez delivered Capital Cup (Carabao), but Origi delivered kombe la CL, can be a joke, but its just real man.
dude had 3 shots, and zote zikawa magoal, his 2 crucial goals vs Barca and his most memorable and biggest goal in his career and one of the biggest goal in LFC history was against Spurs in the final.
and just, look the way he celebrated man, hahaha kama kafunga against Fulham or something. ICE COLD KILLER, it was just another day for him.
was somewhere watching the game, when the Origi scored, after the celebration i jumped into the counter and started to scream, THATS IS MY NEIGHBOURRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR, MY KENYAN BOYYYYYYYYYYYYYYYYYY. people were like, dude get off there, we're still watching the game. tell you what, i lost my glasses aswell because the celebration didnt end there hahaha, mambo ya kukabidhiwa kombe nilikuja kuyaona kesho yake jioni kabisa, so glad i'm still alive, lost it compeletely. This club man, will be the end of me.
cant even imagine, the day we win the EPL. THE SCEENESSSSSSS WILL BE UNBEARABLE.
Hahaha Nazi guy...i.like that one...Bobby Firmino, wasnt fit at all.
kama ilivyokuwa kwa Harry Kane, they werent fit for the final kwasababu ya Injury.
but, you know what, Klopp subbed so early, and that was the turning Point.
My alcoholic NAZI, really wanted this trophy man, kulikuwa hakuna room ya sentiments this time.
That sub was very important, pamoja na ile ya Milner.