Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Nadhani utakuwa hujawahi kuwasikiliza Wachambuzi wa Bongo.
Baada ya kufungwa 3 na Barcelona Mourinho alisema kuwa Liverpool anaweza kupiga Comeback na kusonga mbele.
Lakini wachambuzi wa Bongo walisema hilo haliwezekani.
Halafu wachambuzi wenyewe ni kina Shaffih Dauda ambao wanachambua mapenzi ya timu zao badala ya mpira wakati mchambuzi anatakiwa awe Neutral.
Liverpool will be competing for 7 trophies next season. [emoji471]
Community Shield
Premier League
Champions League
League Cup
FA Cup
UEFA Super Cup
FIFA Club World Cup
Mkuu nafurah kuona hilinilisema
ninasema
na nitaendelea kusema na nashukuru pia UEFA waliyasikia maneno yangu "TRENT-ALEXANDER ARNOLD NI BEKI BORA WA UPANDE WA KULIA DUNIANI KWA SASA"
aiseeeeeeehhhhhh cesar huyu ambaye endapo ZANA COULIBARY a.k.a mzaa wa mayenu wa pale SSC kama atakaza kidogo tu wanaweza kuwa sawa......ahhhhhhhhhhhhhhhh bwana weeee acha utani kakaMkuu nafurah kuona hili
Kuna cheltako mmoja huku anasema azpiculeta ni bora kuliko TAA yaan washabik wa mpira katukosea heshima aise
kwanza nikumbali kwamba mimi ni msikilizaji nadra mno wa hawa wachumbuzi wetu hapa bongo japo inapotokea nikawa mahala wakiwa redioni hua nasikikiza kwa kweli sijawai kuwaelewa kamwe zaidi ya kumjua kwa jina Shafi Dauda na mwalimu Kashasha sijui hata mwingine siwajui pengine nianza kuwasikiliza pengine nitakumbaliana na wewe kwamba wapo wapo poa kimtindo...Sidhani kama pundits wa Bongo ni wabovu kiasi hicho, nadhani ni lile swala la nabii hakubaliki nyumbani.
Neville huyo huyo amewahi kupewa timu, wote tunajua alichokifanya.
Ukiangalia comments za international forums mfano za Liverpool utakuta wanamponda sana Neville kwamba hajui kitu, anatumia ushabiki nk.
Kitu nachoona iwe Ulaya au Bongo, washabiki tunapenda kusikiliza upande ambao unatusifu.
Na swala la kina Karius halihitaji Pundit kuona kwamba jamaa ni vimeo, mtu yeyote anayetazama mpira lazima ashangae kwamba hao ndiyo makipa!
kwanza nikumbali kwamba mimi ni msikilizaji nadra mno wa hawa wachumbuzi wetu hapa bongo japo inapotokea nikawa mahala wakiwa redioni hua nasikikiza kwa kweli sijawai kuwaelewa kamwe zaidi ya kumjua kwa jina Shafi Dauda na mwalimu Kashasha sijui hata mwingine siwajui pengine nianza kuwasikiliza pengine nitakumbaliana na wewe kwamba wapo wapo poa kimtindo...
Ishu ya Nevile kupewa timu na kushindwa haiodoi ukweli kua Nevile na moja ya wachambuzi wazuri akiamua kwa neutral just like Carrager, Townsend,Tyler, Rio n.k...