Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hazard hatakuwepo so sitajisumbua kabisa kuangalia mechi ambayo naamini najua timu yangu Chelsea itafungwa tu nikiwa hai...[emoji30]
 
Dah

Hivi kwa nini Origi anasugua benchi?

Uwezo mdogo ukimlinganisha na watu wa mbele pale,mkuu unataka sarah,mane Na firmino akae bench origi acheze?.

Mmoja wapo hapo akikaa tu bench mechi moja,ananuna na anaona klopp hampendi.

Origi anapambana sana,hao wengine wamebaki wajina uwanjani hawajitumi kabisa
 
Tulishafungwa mwaka jana na kila mtu anajua fainali magoli mpira mzuri tumwachie arsenal
Na huo mwaka jana Liverpool ndiye alicheza mpira vzr sana tu afu akapoteza ubingwa.

Nilichoipendea Liverpool leo hii imecheza kimbinu sana kuliko kimazoea ya kumiliki ball possesion[emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…