Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

London ni Blue na white mwaka huu Liverpool wasikupe shida hukumbuki pindi wapo mbele 3 bila na sevila afu ilikuwaje
 
Wazee wa suti nawasalim[emoji113][emoji113][emoji113].
Kama kuna mtu suti yake haijanyooshwa, natoa msaada wa kuzinyoosha.

Maana zilirudishwa kabatini kwa hasira sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazee wa suti nawasalim[emoji113][emoji113][emoji113].
Kama kuna mtu suti yake haijanyooshwa, natoa msaada wa kuzinyoosha.

Maana zilirudishwa kabatini kwa hasira sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yangu haijanyooshwa bado,uje
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…