Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
yupo uturuki Besiktas kwa mkopo sioni wakimnunua kwani aliedelea kufungwo magoli yale yale ya ajabu..Kumbe bado yupi liverpool kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23]baada ya yale magor ya kizembe kabisa nikajua hawez rudi unfield, nikajua lazima akatwe masikio tu
Ahahaaaah...Nipuuzie tu kwamaana huenda hujui kutofautisha pesa za club na na shekhe ni zipi
Mkuu ngoja nikwambie kitu mjenga hoja yyt huwa hafanyi mashambulizi binafsi kwa mwingine,Kama unafatilia vizur yanayojadiliwaga humu ukiacha ukosoaji wa kawaida wa kimchezo,watu wanapenda Sana kupelekeana mashambulizi binafsi iwe kumuona mwingine hajui chochote au kutaka tu unachokiamin ewew ndio kiwe hicho hicho kwa kila mtu...Thibitsha mkuu mana mimi naona kila mtu awe wa Arsenal, Man U, Chelsea, Man city, Liverpool, newcastle, wolves, everton n.k wana comment humu na mitazamo yao inaonekana hlf na wengine pia wanaleta na wao mitazamo yao then hoja inapatikana.
Tetea ulichoandika!
Mkuu ngoja nikwambie kitu mjenga hoja yyt huwa hafanyi mashambulizi binafsi kwa mwingine,Kama unafatilia vizur yanayojadiliwaga humu ukiacha ukosoaji wa kawaida wa kimchezo,watu wanapenda Sana kupelekeana mashambulizi binafsi iwe kumuona mwingine hajui chochote au kutaka tu unachokiamin ewew ndio kiwe hicho hicho kwa kila mtu...
ANWAYS NILICHOTAKA KUMAANISHA NI KUWA KWENYE MPIRA KILA MTU ANA JICHO LAKE NA ANAWEZA KUSEMA ANACHOKIONA YEYE NDIO SAHIHI, LKN AKAWA HAYUPO SAHIHI KTK JICHO LA MTU MWINGINE,MARA NYINGI WATU WANAKUBALIANA KUTOKUKUBALIANA NA MAISHA YANAENDA ILA KAMA UTAONA EWEW TU NDIO MCHAMBUZI UNASEMA UKWELI KUTOKANA NA HOJA ZAKO ILA HOJA ZA MWINGINE SIO SAHIHI NA UKALAZIMISHA TUFATE UNACHOONA EWEW TU,SIDHANI KAMA UNAKUWA UPO SAWASAWA.
Wala huo mjadala wa pep kwangu mm sio tatizo sababu nilishawahi mjibu member mmoja kuwa kwangu mm pep na klopp ndio makocha Bora ktk Dunia ya Sasa lkn namkubali zaidi klopp sababu ya falsafa yake kisoka inavyoweza kuibadili timu pamoja na mchezaji mmoja mmoja...Mkuu Kusema PEP ni best Coach ndiyo imeshakiwa ugomvi?
Mtu Ndani ya misimu hii miwili ameshabeba Makombe Matano bado hamutaki kuukubali ukweli?
Ivi kuna ubora gani kuliko kuchukua EPL kwa Zaidi ya points 90 Mara mbili mfululizo?
Au ndiyo munaendelea kutuaminisha kuwa PEP anabahatisha?
Ivi kuna ubora wakocha mwengine usiokuwa Kushinda Makombe?
Hapa hakuna Anayekatazwa kupost, Lakini haimaanishi kuwa Pakipostiwa tusihoji!!!
Kama hatupaswi kuhoji kinachopostiwa basi haina haja ya kuwa ndani ya Social Network.
Muhimu tunachotaka Ni kiwa Jengea Hoja kwa ulichokipost.
Na sio Kweli Kuwa Mtu akipost anashambuliwa humu! Bali Mashambulizi yanakuja kwa Washabiki wa Timu nyengine wanaopost Pumba zao.
Lakini kwasisi tukea tuanze Mjadala wa PEP hakuna aliyeshambuliwa hapa Bali ukipitia Post zote utaona zinajibiwa Hoja kwa Hoja.
Lakini hayo unayo yapropagate hayana uhalisia wowote.
Cha ajabu aliyeaanza kujiita HALISI na kutuita sisi FAKE kwasababu tu tumepishana mawazo sikuwahi kukuona ukimshauri chochote hapa! Au msamiati FAKE hauna tatizo kwako?
Mkuu tuache doublestandard
Habari za ndani ndani ni kuwa hakutakuwa na usajili mkubwa zaidi ya mbadala wa FIRMINHO NA MSAIDIZI WA ROBERTSONWhat can we expect from Jurgen Klopp this summer?
Timo Werner
Marco Asensio
Julian Brandt
Gedson Fernandes
Maxi Gomez
De Ligit
du hilo ni janga aisee....Chamberlin, Keita n Hendo wote pancha ilihitajika usajili mmoja hapo au tumrudishe Grujic japo ningependa abaki msimu mmoja alipo azidi kukomaa kua tayari kwa EPL...Habari za ndani ndani ni kuwa hakutakuwa na usajili mkubwa zaidi ya mbadala wa FIRMINHO NA MSAIDIZI WA ROBERTSON
Mkuu umelishwa tango pori mahaliHabari za ndani ndani ni kuwa hakutakuwa na usajili mkubwa zaidi ya mbadala wa FIRMINHO NA MSAIDIZI WA ROBERTSON
De ligtWhat can we expect from Jurgen Klopp this summer?
Timo Werner
Marco Asensio
Julian Brandt
Gedson Fernandes
Maxi Gomez
De Ligit
Nicolas pepe na Timo werner kati yao hawa wawili mmoja atakuja kumsaidia bobbyliva msimu ujao waanglie namna nzur y ku deal n pengo la firmino endapo akiumia ama suspension..
Nicolas pepe na Timo werner kati yao hawa wawili mmoja atakuja kumsaidia bobby
I trust in klopp akisimamisha mtu pale mbele hawezi kosea by the way kuna Depay pia kwenye list both can play as SThao wot ni wide players uliowatja apo while boby anachza zaid ktkat..
Watawataka tena kwa jinsi Klopp anavyotransform watuPsg ni wehu. Wanajaza watu tu bila kuwa na matumizi nao. Watupe Pastore na Maquinhos tuwape Firmino.
Mkuu umelishwa tango pori mahali
Kama tunachukua ucl everything will changeHiyo ni according to Media Kuwa Walimnukuu Klopp akiongea hivyo.
Sio tango pori
Kama tunachukua ucl everything will change
Klop na Mgt ya Liverpool pitia hapa JF!Tusajili Backup ya Robbo
Tusajili Namba 8, na Namba 10 au 9
Hapo kwa upande wangu nitakuwa nimesharidhika na nitakuwa najiamini Kwa lolote line.
NASISITIZA: Namba 8, 10 au 9 hawa wawe ni Wa Kuanza na si Backup.
Tusiposajili 8, 10/9 kama talented Regular starters basi tujiandae tena Kuwa best runner kwenye EPL.
Origi, Xhaqiri, na Brewster wanatosha Kuwa Backup players kwenye ushambuliaji SALAH -(New No 9)/Bobby -Mane
Grujic, Gini and Hendo wataongeza Depth kwenye Midfield ya FABI - (New No 8)-(New No 10)/Bobby.
OX na Keita ni Spana Mkononi I'm not consider them as regular starters