Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yeah, i agree kuwa we cant compete with City kwenye suala la pesa hasa katika upande wa TW.

but buying smart, can help us a lot katika kukimbizana kwenye title for next season.

Tayari tuna very reliable GK/CB/DM/Front 3. tumeshatengeza spine ambayo tulikuwa tunaililia tangu 2009. so cha msingi na kikubwa ni kujaribu kuongeza quality kwenye hii spine.

yes, we cant spend loads like City in one TW, but surely we can get players like Brandt/Werner/Pepe/Aouar/Depay/Havertz etc for reasonable price. (hoping we'll do good deals in the summer)

Man, nimeona reports kuwa owners wa PSG wanataka kuachana na Club, Nasser's plans ilikuwa ni ku-win CL, and mpaka sasa they've failed kufanya hivyo after spending a lot of money over the years, but nilisoma sehem kuwa kuna a lot of deals wanaendelea kufanya kwenye club, so how can they abandon the project? and reports zingine zinaonesha kuwa wanataka kuwekeza AS Roma.

so, nawaza itamchukua muda gani Mansour kuichoka project yake ya City, i mean ameshinda everything domestically (kama wenzake PSG), but wanashindwa kudeliver kwenye second biggest football competiton (after World Cup), Champions League.

.....and its funny, because Mansour and most of his siblilings are Liverpool fans, and they tried to buy the club back in 2007's, baada ya ku-fail wakaenda kujaribu Newcastle (kama kumbukumbu zangu zipo sahihi) na walifail pia, ndiyo wakaishia Man City, and the most funniest thing ni kuwa he tried to buy LFC tena 2018 (akimtumia ndugu yake kama bidder), and it was a big offer, but FSG rejected, nadhani waligundua mchezo wa Sheikh Mansour.



Man, FSG have sold a lot of my fav and attached players, but will forever be grateful kwa wao kuamua kuja kuwekeza kwenye a dying project. matter of fact, ningekuwa grafeful kwa owner yeyote yule ambaye angewekeza kwenye project wakati ule.


Man, we have a come a long way.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…