Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Salah na filmino ni wagonjwa mzee
 
wameanza mkuu Papupi
 
Salah na filmino ni wagonjwa mzee
unajua behind the scene mkuu hilo ni pichapicha tu washajua kuwa ni kwishnehiy so hakuna kupoteza nguvu nyingi bora wawekeze nguvu epl kuliko uefa kama huamini kesho ataanza hendo,origi,xhakir ila gem ya wolves ataanza salah ,filmino na mane
 
ulaya unashabikia liver alafu bongo upo makwasukwasu fc au vyura hahahahaha ramadhani kareeeeeeeem
 
Liverpool wamechanganyikiwa mkuu[emoji25][emoji25][emoji25]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…