Patamu hapoNimeikopi mahala
Kama Manchester city watashinda ubingwa wa ligi kuu ya England klabu ya Leicester City watapata paundi milioni 5 kwaajili ya bonasi ya mauzo ya mchezaji Rihard Mahrez.
Manchester city itacheza na Leicester City Jumatatu kama Leicester City itashinda au kutoka sare itahatarisha mbio za ubingwa za Manchester city na hivyo kupelekea kutopata bonasi hiyo ya paundi milioni 5 kwani mkataba unasema Manchester City watalipa kiasi hicho ikiwa wataendelea kuwa na Mahrez na kushinda ubingwa.
Saa nane niliziangalia zilikua zinasoma 2.45odds na barca ni 2.8odds hlf droo ni 3.85odds... hadi saa 2 hiv zitapanda zaid za liverpoolOdds za Liverpool zimepanda ghafla...
Lolote linaweza tokea kwenye mpira nakubariana na ewew,ngoja tuone.
Kwahiyo unataka tusishangilie Wala kuomba tushinde Tena kisa tulipoteza point huko nyuma!!? Ushabiki Ni pamoja na kuwa nyuma ya timu vipind vyote tukiangalia yaliyotokea huko nyuma na hatuna uwezo wa kubadilisha lililopita unafikir inasaidia Nini!?Mkuu Ngoja nikukumbushe kitu!
Sisi tuliyaona mapema haya kwasababu tunaamini Biashara ni Asubuhi.
Kipindi Cha January Wakati Klopp Anajaribujaribu Mechi tulipinga Vikali kutoa Draw na timu zilizojichokea! Lakini Munakumbuka Mulituambiaje?
Mulituambia kuwa "Nyinyi tatizo lenu Munataka Mushinde Kila Mchezo".
Mukaendelea kutwambia kuwa "Kutoa Sare baadhi ya game si mbaya, Hata Man City atadondosha Points".
Mara Mukasisitiza "Bado tupo Pazuri".
Sasa sisi tuliokuwa tukizilalamikia draw zisizo za lazima tuliamini tokea kipindi kile kuwa uzembe tunaoufanya utatucost baadae! Na tukajua kuwa tayari tumeshapoteza nafasi.
Sasa Mkuu Mulitulaumu kuwa 'tulitaka kushinda kila mechi'... Kwanini sasahivi na nyinyi munataka kushinda kila mechi? Si tuachie tu game ya mwisho tufungwe!
Sasa tuendelee kujisifia performance tu kwa kupost Articles za watu hapa! Eti tunaeka habari Guardiola anatusifia! Alaa! Yeye achukue kombe halafu sisi tujisifie eti tumemfukuza????? Kweli sisi ni Loserfools wanaotuita hawajakosea.
Nitaona watu ni wa ajabu sana kujisifia Msimu huu tumefanya vizuri wakati tukiwa ni Zero Trophy. Coz ninachoamini Mimi ni Makombe tu kwenye mpira na si kukusanya Points nyingi.
Hata tukimaliza ligi na Points 300 kama hatuna kombe basi kazi bure! Tutabakia kuwa sisi ni Loser tu.
Mambo bado, Man city anaweza kunywa kwa mbweha na nyi mkanywa kwa mbwaKumbe bado hujaamini kuwa Man City bingwa?
Endelea kuamini unachokiamini
King, hii Liverpool ya mwaka huu ni bora kuliko Liverpool zote ndani ya miaka 10 iliyopita au zaidi. Ni bahati mbaya tu Liverpool bora imejengwa kipindi cha Man City bora ya PEPWacha na Msimu ujao tuendelee kujenga timu
is that CP band? hahaha...he is top red loadingggggg
duu bro umenikumbusha kwa pamoja tuliasapoti Brexir pale Ethad na baaada ya gemu ile kutugeuka mbaya tukajua hatuwezi shinda lolote tukiwa na Brexit kama chaguo la kwanza na tangu siku hio mpaka leo msimamo wangu ni ule ule wt Brexit n Lovren uwanjani ni ngumu kua na uhakika wa kombe lolote...Mkuu Ngoja nikukumbushe kitu!
Sisi tuliyaona mapema haya kwasababu tunaamini Biashara ni Asubuhi.
Kipindi Cha January Wakati Klopp Anajaribujaribu Mechi tulipinga Vikali kutoa Draw na timu zilizojichokea! Lakini Munakumbuka Mulituambiaje?
Mulituambia kuwa "Nyinyi tatizo lenu Munataka Mushinde Kila Mchezo".
Mukaendelea kutwambia kuwa "Kutoa Sare baadhi ya game si mbaya, Hata Man City atadondosha Points".
Mara Mukasisitiza "Bado tupo Pazuri".
Sasa sisi tuliokuwa tukizilalamikia draw zisizo za lazima tuliamini tokea kipindi kile kuwa uzembe tunaoufanya utatucost baadae! Na tukajua kuwa tayari tumeshapoteza nafasi.
Sasa Mkuu Mulitulaumu kuwa 'tulitaka kushinda kila mechi'... Kwanini sasahivi na nyinyi munataka kushinda kila mechi? Si tuachie tu game ya mwisho tufungwe!
Sasa tuendelee kujisifia performance tu kwa kupost Articles za watu hapa! Eti tunaeka habari Guardiola anatusifia! Alaa! Yeye achukue kombe halafu sisi tujisifie eti tumemfukuza????? Kweli sisi ni Loserfools wanaotuita hawajakosea.
Nitaona watu ni wa ajabu sana kujisifia Msimu huu tumefanya vizuri wakati tukiwa ni Zero Trophy. Coz ninachoamini Mimi ni Makombe tu kwenye mpira na si kukusanya Points nyingi.
Hata tukimaliza ligi na Points 300 kama hatuna kombe basi kazi bure! Tutabakia kuwa sisi ni Loser tu.
Honestty pole sanaaaa kuikosa big four, tukutane msimu ujao mkiwa mmejipanga vizuri...Nimesoma hii makala...ni huruma tu imetawalaView attachment 1089853
kwakuwa yanga wamechspwa leo NOTE:mda mfupi ujao kuna kitu kitanung'unika leo[emoji3][emoji3][emoji57]Man City will beat Leicester City! No argument at all
Honestty pole sanaaaa kuikosa big four, tukutane msimu ujao mkiwa mmejipanga vizuri...