Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,327
- 11,025
Maswali mengine ya ajabu sana..!Newcastle najua wapo, hata rais mstaafu Jakaya kikwete ni mshabiki kindakindaki wa Newcastle , ila man city napata ukakasi,.
Ahahaaaah...Newcastle mashabiki wake wapo tena ni wengi mno kwa Manchester city mashabiki wake wengi ni wale waliokimbia Liverpool, Arsenal na Manchester United
Huyu Fraser anapatikana chin ya €30m
New Castle ina washabiki wengi sana bongo, sema recently wamesambaratika kwenye team za top 4Newcastle najua wapo, hata rais mstaafu Jakaya kikwete ni mshabiki kindakindaki wa Newcastle , ila man city napata ukakasi,.
Huo ndio ukweliNew Castle ina washabiki wengi sana bongo, sema recently wamesambaratika kwenye team za top 4
Ndo maana kuna team nyingi sana vijijini zinaitwa New Castle, ukweli nimeanza kuifahamu New Castle team ya kijijini huko Upareni Ndungu ambayo imetoa wachezaji kama Chambua,Huo ndio ukweli
EPL ni yenu Nani kakuambia man city anafungwa?Kaonyesha kama yy ni kiongozi uwanjani!
Kamuru TIA aache na kweli akatii
EPL ni yetu
Nyie niwasumbua watu tu hamuwezi kushinda hato ndondo cup manzese United atawapiga fainal mkifika naeFucki*ng the trophies, to hell with with titles, but liverpool will always be te best forever.
This is club[emoji110][emoji110].
Hata mm namshangaa kweli mkuuMkuu hivi huyu jamaa mbona hana lugha ya ustaarabu??
Huyu Fraser anapatikana chin ya €30m
Unaziona nyingi Sana izo?Tusipochukua ubingwa pl the god of football is not fair to us damn 94+ points with 1 loss
Kesho mkuuCity game ya leo anatoa draw.. Liver njia nyeupe kuchukua ubigwa😇