Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Liva hamna kitu mulee..bado sana kupambana na timu za Spain hata ingekua Sevilla au atm mambo yangekua haya haya tu....

Rudini mkakipige na kina Cardiff cty, Huddersfield na takataka nyingine..

Kawadanganye wasio angalia mpira huko.
 
Barca walizidiwa sana walikuwa wanapata shida kuwakaba wachezaji wa Liverpool ndio maana wachezaji kibao wa barca wamepewa card za njano.

Suarez alikuwa anataka wachezaji wa Liverpool watolewe nje acheze peke yake,refa akampa card.

Sasa yeye anataka wachezaji wa Liverpool wapewe card watoke acheze peke yake.

Kama ndio amriyake wachezaji wote wa Liverpool alikuwa anataka wapewe card nyekundu watolewe acheze peke yake,this bastard is shit.
 
Ebu ingia Goal.Com ss hv kwanza uangalie match statistics u screenshot kisha uambatanishe hapa kisha uone jinsi gani wewe ulivyo kilaza kuliko mimi maana naona unaongea kichuki bila uhalisia
Ndugu yangu katika maprnzi ya soka,pole sana kwa kupoteza mechi dhidi ya Barcelona.Ningependa kuongea machache tu kuhusu analysis yangu kuhusu mchezo wa leo.Barcelona walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kumiliki mpira na kuzuia mashambulizi yaliyofanya na liverpool lakini waliruhusu kushambuliwa kumruhisu liverpool atanuke manake traditionally all liverpool players like to play behind the ball.Walishastudy mechi nyingi za liver na man city na siku zote weakness ya Guardiola ni kumiliki mpira hivyo kuwapa mwanya liver wakushambulie na kukufunga watakavyo kwa mashambulizi ya kustukiza na pia kucheza nyuma ya mpira.Kitendo cha barca akiwa nyumbani kumuanzisha Vidal ilikuwa ni alarm tosha kabisa kwa Klopp kuchange game plan kwa sababu barca wawapo nyumbani huwa ni offensive minded lkn leo waliweka viungo wawili wakabaji kwenye dimba la nyumbani.Kiujumla liverpool hakustukia huo mtego akaingia kichwa kichwa akacheza kama barca walivyotaka acheze kilichotokea umekiona.
 
Wana Liverpool HALISI wenzangu
Msife moyo,soka ndiyo ilivyo!
Matokeo uwajani yamekua machungu sana kwetu sababu vijana walipambana sana!
Wanao itukana team hapa waacheni wafanye hivyo leo ni sikuu kwao!
Vijana wanarudi Anfield kujipanga na mechi ijayo Jumanne
Pia tukumbuke tuna game na NC
In Klopp we trust
 

Ni ngumu sana kuja muambia my son miaka ijayo kwa stats hizi tulipoteza game hii!
Hakika team nzuri uwanjani imepoteza mchezo na ndiyo soka tunarudi Anfield kwa mechi ijayo!
 
Barca will shiver? Maana ya shiva ni nini wakuu? Maana humu kunazungumzwa lugha ya kilivapu
 
Shida hii club ina wajuaji na wapumbavu wengi. Mnahitaji kuhurumiwa tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…