Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimeota tumewacharaza goli 2 kwao
 
kupata vichekesho kama ivi bonyeza *150*livakuku#
 
Washasema hachezi vs liverpool....bora maana anatufungaga sana yule jamaa na yuko kwenye form kweli. Na sidhani kama atabaki CASTE kama benitez ataondoka
 
Washasema hachezi vs liverpool....bora maana anatufungaga sana yule jamaa na yuko kwenye form kweli. Na sidhani kama atabaki CASTE kama benitez ataondoka
Napoli wanajiaada kulepeleka ofa June, japo Castle wanasema hauzwi....
Napoli wanajiaada maisha bila Insgine msimu ujao hivyo huyu ndogo Perez anahitajika sana Naples.
 
[/QUOTE]
Huyo Messiah wenu ajiandae kipigo kikuu kinamjia tena
 
Yeah, the injury wasnt that big though, hence nadhani he'll be just fit for this weekend.

itakuwa bahati kama hatakuwepo, but lets wait mpaka Alhamis/ijumaa for Benitez pre match presser.
 
Yah man..baada na palace ndipo atakapocheza na man u..hope ashindehiyo na palace ili tu kumuwekea pressure brighton...na pia brighton nae afungwe na arsenal mechi ijayo...labda anaweza fanya kitu mechi na city...Leicester pia wana kocha anaependa ku'battle' na miamba..labda pia anaweza fanya kitu...

Yani huu ubingwa huu..unafanya mtu uwehuke kabisa...
 
Rakitic on Klopp: "I know their coach really well and I really respect him. Playing against his teams (in the Bundesliga), they were perfect in every detail. It's going to be complicated for us. We can't allow them to run at us, we have to keep them away from our goal."
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…