Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,556
Unadhani man untd Ina uwezo wa kuifunga cardif!?Mechi ya mwisho brighton watakuwa tayari wapo safe ....so hawatokaza..Ingekuwa at least mechi hiyo wanapigania kubaki wangeweza fanya kitu.But cardif will be relegated next match against united..from there brighton are just going to enjoy their last game against city..
Chanzo Cha hii habar mkuu!!!?Ashley Barnes: "Jurgen Klopp has even sent a sly text to say if I score he might sign me for next season."
Even Klopp needs a favour from Ashley Barnes.
He bottled it himself for the sake of proving wrong Liverpool's Fans and now wants a favour from Burnley striker? Pathetic
Hahahahahahahahah habari za Twitter hizoChanzo Cha hii habar mkuu!!!?
Chanzo Cha hii habar mkuu!!!?
Fortunately sijawahi kupost habari za UdakuHahahahahahahahah habari za Twitter hizo
Player of the year 18/19View attachment 1083653
Lakini pia ukumbuke kua hata nyie liver mnaweza kupoteza ko msijihaminisheKwenye football,lolote linaweza kutokea.
MC anaweza kupoteza dkk za mwisho ( mechi ya mwisho).
Kumbuka Msimu ule Man U anajiaminisha Ubingwa,Aguero akabadilisha score board at dying minutes!
Football is undesribed game.
Afu umesahau kua EPL Ndo timu mbili zimeshuka muda hadi tumesahau.Ha ha ha
Jamaa wa jukwaa la Barca nusura wanitoe macho niliwaeleza ukweli kuwa EPL ni the most exciting league in the world which makes it the most watched
La Liga than the Madrid derby, El Classico na Barca vs Atleti haina mvuto
Stats zinaonyesha even The Championship ya akina Leeds huko ina most viewers than La Liga
msimu unaokuja player of the year atakuwa nabi keitaPlayer of the year 18/19View attachment 1083653
Ila unaangalia Huddersfield vs Manchester si utakuwa mwehuMkuu you gotta jokes!
Unaweza kuangalia full game kati ya Barcelona na Eibar? Ama Valladolid na Levante?
Hahaa means Epl vibonde ni wengi zaidi ila wanajificha kwenye et big 6Afu umesahau kua EPL Ndo timu mbili zimeshuka muda hadi tumesahau.
Afu EPL Ndo ligi ambayo anayeongoza ligi ana point 92 wakt wa mwisho ana point 14 afu bdo mnaita ligi yenye ushindani.
Ni ushindani gani huo ambao gap la point kati ya anayeongoza na wa mwisho ni kubwa kiasi hicho
Na kama ingetokea Burnley wangepata goli kabla ya City PEP wangemtoa uwanjani na Ambulance kabla hata ya mechi kuisha.City jana walikuwa hoi kwa Burnely kipindi cha kwanza ila waliporudi kipindi cha pili walishambulia kama nyuki
City wako na pressure kubwa kiasi kwamba wanaweza fungwa au kudraw na Mbweha
Uzuri barcelona atawavuruga then newcastal anakuja kuwamaliza kabisaaNa kama ingetokea Burnley wangepata goli kabla ya City PEP wangemtoa uwanjani na Ambulance kabla hata ya mechi kuisha.
Player of the year 17/18View attachment 1083652
Back to back.Player of the year 18/19View attachment 1083653
Uzuri barcelona atawavuruga then newcastal anakuja kuwamaliza kabisaa
Liverpool huna kombe lolote msimu huu..
Unasema sawa kabisa, PEP jana pressure ilikuwa juu sana, atakuwa na loss kubwa akikosa EPL wakati huku kashakosa UEFANa kama ingetokea Burnley wangepata goli kabla ya City PEP wangemtoa uwanjani na Ambulance kabla hata ya mechi kuisha.
Thts trueHa ha ha
Jamaa wa jukwaa la Barca nusura wanitoe macho niliwaeleza ukweli kuwa EPL ni the most exciting league in the world which makes it the most watched
La Liga than the Madrid derby, El Classico na Barca vs Atleti haina mvuto
Stats zinaonyesha even The Championship ya akina Leeds huko ina most viewers than La Liga