Kampuni gani hii inafanya hivo kabla ya ligi kuanzaMkuu hujanielewa..wakati ligi inaanza kuna kuweka beti nani bingwa,nani atashuka daraja meneja yupi atafukuzwo, mfungaji bora n.k...
sasa wakati Leicester anachukua ubingwa katika makundi ya watu 5000 waliobeti mwanzo wa msimu ni mtu mmoja alisema Leicester bingwa,
unasemaaa!!!Aguerooooooo
mimi naamin Leicester City ndo atatupa ubingwa maana pale yupo Brendan Rodgers ambae nae ni Liverpool blood hatawaacha bure Man City lazma awashonekama burnley watatuokoa hata kwa sare itakuwa vyema but bado naamini brighton ndiye atatupa ubingwa
unasemaaa!!!
zipo nyingi ndugu Ladbrokes, Unibet, Karamba, Bet365, Betvictor n.kKampuni gani hii inafanya hivo kabla ya ligi kuanza
HahahaCITY 1-0
Huyu Aguero ataendelea kuwapa ubingwa hawa jamaa
patheticmimi naamin Leicester City ndo atatupa ubingwa maana pale yupo Brendan Rodgers ambae nae ni Liverpool blood hatawaacha bure Man City lazma awashone
Cjaona tim ya kumsimamisha cty labda angekuwa mou na man united yake.mimi naamin Leicester City ndo atatupa ubingwa maana pale yupo Brendan Rodgers ambae nae ni Liverpool blood hatawaacha bure Man City lazma awashone
Wale wolves sio watu wazr hata kidg nna wac wac liver akapigwa iyo game.Safi sn.Sie man u tunataka majiran mchukue ubingwa na si wakina Fulani.
Wolves anasubiri mtu atakoma!!!
Walizingua kudroo na man united cjui walirogwa??Kila timu inajitahid kuwasaidia but no way out
Atapigwa,Kwa sababu atakuwa ametoka kuvurugwa na barcaWale wolves sio watu wazr hata kidg nna wac wac liver akapigwa iyo game.
mimi naamin Leicester City ndo atatupa ubingwa maana pale yupo Brendan Rodgers ambae nae ni Liverpool blood hatawaacha bure Man City lazma awashone