Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unanifurahisha unajiaminisha kabisa Leicester kwa Chelsea atalegeza ila kwa arsenal atakaza,,ngoja tuone

Usije kulamba matapishi yako
 
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haiwezi kutokea mkuu. Na ikitokea itakuwa ni miujizaaaaaaa.....
 
Unanifurahisha unajiaminisha kabisa Leicester kwa Chelsea atalegeza ila kwa arsenal atakaza,,ngoja tuone

Usije kulamba matapishi yako
Hahahaha sasa mkuu unadhani kati ya Chelsea na Arsenal ni nan anastahili kufungwa na Leicester? Me naona kabisa iyo gemu ukipambana utaambulia draw tu...
 
Hahahaha sasa mkuu unadhani kati ya Chelsea na Arsenal ni nan anastahili kufungwa na Leicester? Me naona kabisa iyo gemu ukipambana utaambulia draw tu...
Kwamba Chelsea una timu bora?ngoja tuone labda kama Chelsea hatuijui, kwanza kesho kwa nyumbu ukichomoka nitashangaa
 

Tunapozungumzia current team status, gape la point 27 kati yetu na ninyi linatupa entitlement ya kuwaponda.

Ila ni ajabu sana eti ninyi mnakuja kuicheka timu iliyokupita hivyo.

Fanya census uone ni Man Utd wangapi wanaoicheka LFC kwenye hii thread.

Uko alone, wenzio wanaona aibu kwa unachokifanya.
 
Kwamba Chelsea una timu bora?ngoja tuone labda kama Chelsea hatuijui, kwanza kesho kwa nyumbu ukichomoka nitashangaa
Mkuu mimi Nina uhakika kwa Leicester hutachomoka ...yani afungwe na Man city, apigwe na Chelsea afu aje apigwe na Arsenal tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kesho Manure anakufa sio chini ya goal tatu..

Kama alipigwa na nyie mimi ndo nitamuacha? Man city kajipigia apo, Barca naye ...kwa nini sisi Chelsea tushindwe.![emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Unaongea kishujaa wakati unajijua kabisa una timu tiamajitiamaji,

Huyo lei mm na record naye nzuri tu, labda itokee tu, lkn siwez kufungwa 3times tena, hata man u sio mbovu kama unavyojiaminisha ila anazidiwa uwezo tu,

Kama huamini weka mzigo hapa kesho nyumbu anakupa kipondo,
 
Kesho Burnley ataenda kumvua mtu mzima nguo hadharani mbele ya wakwe.

Kesho Man city asipoenda kudrop point, nitaenda kujipiga life ban hapa JF.

Nipo tayar kupigwa mawe mpaka pumzi ya nwisho hiyo kesho endapo Burnely hatoenda kumsimamisha City.

Liverpool kesho ni siku yetu.
 

Ushabiki ni kazi sana, yaani naona ni kama tunasubiri dodo chini ya mchongoma.
 
Furaha yangu Liverpool wasichukue ubingwa basi,hayo mengine mimi hayanihusu. Naamini msipochukua ubingwa hata wewe utaona aibu na kuumia sana pamoja na kutupita pointi 27 zenu
 
in shaa Allah
 
Nakumbuka 16 stage ilipopangwa LIverpool na dortmund ni timu zilikua hazitakiwa na team za hispania zisikutane nazo.*The king of European Knight from England*,.

Wengi wanafikiri kumfunga Huddie ndio jeuri imeanzia hapo la hasha huu ujasiri toka alipotolewa Napoli.

Take your seat and watch the matches.

YNWA",

Klopp has changed our team respect respect respect to JK.
 
maana yangu kubwa pep ni mwl anayejifunza sana namna alivyo approach gemu za Liverpool tofauti na last year, hata wanaombeza kuhusu champions league, mwakani anaweza kuduwaza, nakubali uwezo wa Liverpool no daughter
CL tatizo sio pep naona ni city tu.In football game hatuamini ila ni kweli city kama wanakaghndu na CL even before pep come, walikua vzuri domestically ila kwa nje walikua wanastruggle.
 
bravo bravo.

Naongezea.
Ukihitaji kupossess na kupress high lazima uwe na wachezaji wenye vimo vya wastan kwa sababu hua na kawaida ya kuwa wepesi kunyumbulika kwa falsafa ya

TAFUTA PASI, PATA PASI, PASI..
 
Ma great thinkers wa miaka hii nawavulia kofia. Ngoja nikalipe ada ya mwanangu....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…