Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Afu unasema kufikia hapo mlipo hakuja tokana na mbinu za Pep wakt nyie liver kwa pep mmeambulia point moja tu uku Pep akiwa amepata point NNE kwako. Are you serious?
Changia ukweli si kushabikia

Nakuona unapigia Mbuzi gita....
Inaonesha humjui huyo
Ivi mpaka hapo bado hujagundua kuwa jamaa ni Mental disorder?
 
Kumpiga 5-0 mtu aliyeshuka daraja hana hata matumain ndio leo mnamwita barcelona tena kwa jeuri hahaaaa

J nne sio mbali, mtaelewana

KILA MTU ASHINDE MATCH ZAKE...
 
Kila siku nasema humu kuwa EPL ni over rated, yani kuifunga Huddersfield timu iliyoshuka daraja mnajiaminisha kuja kuifunga Barcelona kweli!, ebu kuweni serious wakuu.

Sio kwamba Barcelona hafungiki ila tambueni hii ni gemu tofauti kabisa, inahitaji approach ya kipekee.
NB
Past success does not guarantee future glory
 
5-0 lkn tulistahili tufunge bao zaidi!
Salah mara mbili badala ta kupiga cross Mane afunge yy anapiga mshuti!Nadhani ni kutaka kuwa mfungaji bora!

Liverpool HALISI tuzidi shikamana ubingwa ni wetu!
mkuu sometimes huwa napenda ku "like" posts zako lakini nikikutana na hili neno la kibaguzi "halisi" nakuwa sina namna inabidi nipite kimya tu....
 
Maestro you are a great na huwa unanipa uelewa through burudani kubwa kupitia uchambuzi wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…